Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Nimepata mama kama wanne hivi aiseee ..kwahyo ninao mama kibao wee endelea kunikamia kama sijakushtakiUmeshajua I'd yake kwani😁😁
Nimepata mama kama wanne hivi aiseee ..kwahyo ninao mama kibao wee endelea kunikamia kama sijakushtakiUmeshajua I'd yake kwani😁😁
Basi yaishe mkuu,😁😁😁🙌Nimepata mama kama wanne hivi aiseee ..kwahyo ninao mama kibao wee endelea kunikamia kama sijakushtaki
Safi binaadamu... NimekusameheBasi yaishe mkuu,😁😁😁🙌
Be blessed broh Poor 🤭Safi binaadamu... Nimekusamehe
👍👍👍 Acha kubetiBe blessed broh Poor 🤭
Sijawahi kubeti mkuu hilo si jina lako👍👍👍 Acha kubeti
Nimekosea hapo kidogo mkuuSijawahi kubeti mkuu hilo si jina lako
Wewe hujui tuu walikotokaa..hahahahMh unajiona sana kaka
Mkuu watu wanacheza na fursa wakati wenzao huku hatuelewi kabisa😀😀😀😀😀 ila Poor Brain we ubongo wako umekufa kabisa et..au ndio tatizo lako ni fursa kwa mwingine?
Merry kawa Merry dada sasa ambebe basi huko botswana maana akimuacha hatutamuacha piaWewe hujui tuu walikotokaa..hahahah
Huo mstari wa chini ni muhimu niliponea chupri chupri...mambo ya kula hela huku hufanyi kwny taasisi hiyo...hahahaahahNakushauri omba likizo kama hujachukua likizo. Afu nenda ubalozi, nenda Botswana kareport uone ugumu wa kazi kwa mwezi mmoja. Then utaomba ruhusa kuja kuchukua baadhi ya vitu. Afu fanya judgment. Ukiona kuxuri Basi njoo Bongo chukua likizo ya bila malipo kwa miaka 5. Then fanya huko. Mishahara yao kama wataingiza ukiwa umechukua likizo bila malipo usile utakuja kufungwa
hiyo pesa ugenini kama ndogo vile, sijui lakini maisha ya BotswanaWakuu habari za siku mingi.
Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane.
Merry yupo tunasonga na maisha.
Nimekuja leo naombani ushauri.
Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na nishaapply job na kufanya online interview huko nchini Botswana kupitia Ministry of child welfare ya Botswana.
Sasa Mungu akabariki nikapata job government sijakaa sawa wiki ilopita natumiwa email ya kwamba nimefanikiwa kupata post ya kazi huko Botswana na zimebak process chache na nahitajika pia niende embassy ya Botswana kwa ajili ya mambo ya visa na work permit.
Ila bado nasita kufanya maamuzi, mshahara wa Botswana ni around pula 11k sawa na 2.1m kama hivo na work permit ni kama 600k per year kwa kuanzia. Nina mchumba wangu Merry na nilikuwa nishaingia serikalini he nifanye maamuzi gani?
yaani uanze tu kazi na likizo serikali ya nani hiyo itakuruhusu, likizo serikalini ina utaratibu wake at least afanye kazi kati ya miezi 6 hadi mwaka ndio anaruhusiwa kuomba likizo.Omba likizo,Fanya process za huko,nenda kaanze kazi ukiona patamu usirudi Kwa job ya government!
ila changamoto alio nayo ni mapenzi yanamtesa, wahuni tukipata hiyo hata huyu mchumba wangu simwambii anaweza kuniroga bure nisiende nikifika huko ndio nampa taarifa, sasa ataamua yeye aniache au vipiHalafu mkuu mganga wako nani, madili yanakufata tu
Ndio hivyo mkuu, labda pisi nazo zina baraka aisee.ila changamoto alio nayo ni mapenzi yanamtesa, wahuni tukipata hiyo hata huyu mchumba wangu simwambii anaweza kuniroga bure nisiende nikifika huko ndio nampa taarifa, sasa ataamua yeye aniache au vipi