Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kwani hapa Bongo unapata shs ngapi,salary na marupurupu
Ntacheki site zao za kazi tukijaaliwa mwisho wa mwezi huu ntakua Botswana za SA ngoja niulize kwa wadogo walio makazini hapa..Naanzaje mkuu
Nashukuru sanaKama una kazi Bongo, usiache na kwenda Nchi za watu kwa mshahara wa 2.1m hiyo hela ni ndogo sana na inaweza kuishia kwenye nauli na matumizi.
Angalia mwenyewe ILA usiende, hiyo hela hailipi!
Ukitaka kusaini mkataba wa kufanya kazi nje ya nchi
Angalia sana mkataba ujumuishe vitu vifuatavyo (#1 &2&3) ni muhimu sana;
1. Bima ya Afya
2. Makazi/nyumba
3. Working permit
4. LIKIZO pengine na nauli ya kukurudisha kwenu mara moja kwa mwaka
5. Angalia pia working hours ziwe wazi (usije kufanyishwa kazi masaa 16)
Picha za nan?Mercy au Merry?.....tuma picha please
Unaambiwa kuna mishangazi ina misambwanda ya haja, ina T tatu kama utakavyo.Nenda botswana huko mkuu..
Bongo jau jau tuu l..
Na kama hutoenda huko basi we fanya kuni connect mimi....
Niende huko botswana
Acha kasi uone ilivyo kasi kupata kasiWakuu habari za siku mingi.
Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane.
Merry yupo tunasonga na maisha.
Nimekuja leo naombani ushauri.
Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na nishaapply job na kufanya online interview huko nchini Botswana kupitia Ministry of child welfare ya Botswana.
Sasa Mungu akabariki nikapata job government sijakaa sawa wiki ilopita natumiwa email ya kwamba nimefanikiwa kupata post ya kazi huko Botswana na zimebak process chache na nahitajika pia niende embassy ya Botswana kwa ajili ya mambo ya visa na work permit.
Ila bado nasita kufanya maamuzi, mshahara wa Botswana ni around pula 11k sawa na 2.1m kama hivo na work permit ni kama 600k per year kwa kuanzia. Nina mchumba wangu Merry na nilikuwa nishaingia serikalini he nifanye maamuzi gani?
Mapenzi, mapenzi anaogopa kumuacha Merry huku, wahuni watambandulia.Sasa km hili unalijua, shida iko wapi? Si ndo ufanye hayo maamuzi sahihu kadri ya hitaji lako.
Yakuz haisaidii kitu kumbe😁😁Nenda botswana huko mkuu..
Bongo jau jau tuu l..
Na kama hutoenda huko basi we fanya kuni connect mimi....
Niende huko botswana
Nakushauri omba likizo kama hujachukua likizo. Afu nenda ubalozi, nenda Botswana kareport uone ugumu wa kazi kwa mwezi mmoja. Then utaomba ruhusa kuja kuchukua baadhi ya vitu. Afu fanya judgment. Ukiona kuxuri Basi njoo Bongo chukua likizo ya bila malipo kwa miaka 5. Then fanya huko. Mishahara yao kama wataingiza ukiwa umechukua likizo bila malipo usile utakuja kufungwaNenda botswana huko mkuu..
Bongo jau jau tuu l..
Na kama hutoenda huko basi we fanya kuni connect mimi....
Niende huko botswana
Mmmh mkuu kusema wew euna huruma kuliko mimi mwenyewe au ...Unaambiwa kuna mishangazi ina misambwanda ya haja, ina T tatu kama utakavyo.
Hiyo connection asikupe, tutakupoteza kijana wetu.
Mkuu kuna mambo uwezi tumia YAKUZ YAVUZ...Yakuz haisaidii kitu kumbe😁😁
Mkuu assume mimi ndo wewe alafu nakuambia hii cycle wewe ungeelewa...Nakushauri omba likizo kama hujachukua likizo. Afu nenda ubalozi, nenda Botswana kareport uone ugumu wa kazi kwa mwezi mmoja. Then utaomba ruhusa kuja kuchukua baadhi ya vitu. Afu fanya judgment. Ukiona kuxuri Basi njoo Bongo chukua likizo ya bila malipo kwa miaka 5. Then fanya huko. Mishahara yao kama wataingiza ukiwa umechukua likizo bila malipo usile utakuja kufungwa
Hapa ndiyo nabaini kuwa wewe huna tofauti na wale wa ile hela itume kwenye namba hii😁😁😁Mkuu kuna mambo uwezi tumia YAKUZ YAVUZ...
Hapana lazima niwe mpole aiseee
Mpaka rangu😁😁😁😁Mkuu assume mimi ndo wewe alafu nakuambia hii cycle wewe ungeelewa...
Yaani wewe ndo hv "mpaka rangi kampaka rangi paka na paka alivyoona kapakwa rangi na mpaka rangi rangi, akampaka rangi mpaka rangu rangu""
Unazani kwanini mpaka rangi alimpaka rangi paka...?
Je paka kampaka rangi mpaka rangi rangi ni makosa !?
😂😂😂😂😂😂😂 Daaah mbona umenikamia hivi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 uanataka nimuite mama angu huku nikustaki auMpaka rangu😁😁😁😁
Umeshajua I'd yake kwani😁😁😂😂😂😂😂😂😂 Daaah mbona umenikamia hivi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 uanataka nimuite mama angu huku nikustaki au