Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

Nashukuru sana
 
Nenda botswana huko mkuu..
Bongo jau jau tuu l..

Na kama hutoenda huko basi we fanya kuni connect mimi....
Niende huko botswana
Unaambiwa kuna mishangazi ina misambwanda ya haja, ina T tatu kama utakavyo.

Hiyo connection asikupe, tutakupoteza kijana wetu.
 
Acha kasi uone ilivyo kasi kupata kasi
 
Nenda botswana huko mkuu..
Bongo jau jau tuu l..

Na kama hutoenda huko basi we fanya kuni connect mimi....
Niende huko botswana
Nakushauri omba likizo kama hujachukua likizo. Afu nenda ubalozi, nenda Botswana kareport uone ugumu wa kazi kwa mwezi mmoja. Then utaomba ruhusa kuja kuchukua baadhi ya vitu. Afu fanya judgment. Ukiona kuxuri Basi njoo Bongo chukua likizo ya bila malipo kwa miaka 5. Then fanya huko. Mishahara yao kama wataingiza ukiwa umechukua likizo bila malipo usile utakuja kufungwa
 
Unaambiwa kuna mishangazi ina misambwanda ya haja, ina T tatu kama utakavyo.

Hiyo connection asikupe, tutakupoteza kijana wetu.
Mmmh mkuu kusema wew euna huruma kuliko mimi mwenyewe au ...
Acha uchawi wako kwahyo mi kwenda kufaidi mashangazi wewe unaona taharibikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Niache niharibike niacheni bana...
Alafu ndo uchawi wenyewe huo mkuu
 
Mkuu assume mimi ndo wewe alafu nakuambia hii cycle wewe ungeelewa...

Yaani wewe ndo hv "mpaka rangi kampaka rangi paka na paka alivyoona kapakwa rangi na mpaka rangi rangi, akampaka rangi mpaka rangi rangi"

Unazani kwanini mpaka rangi alimpaka rangi paka...?

Je paka kampaka rangi mpaka rangi rangi ni makosa !?
 
Mpaka rangu😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…