Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

Huo mstari wa chini ni muhimu niliponea chupri chupri...mambo ya kula hela huku hufanyi kwny taasisi hiyo...hahahaahah
 
hiyo pesa ugenini kama ndogo vile, sijui lakini maisha ya Botswana
 
Omba likizo,Fanya process za huko,nenda kaanze kazi ukiona patamu usirudi Kwa job ya government!
yaani uanze tu kazi na likizo serikali ya nani hiyo itakuruhusu, likizo serikalini ina utaratibu wake at least afanye kazi kati ya miezi 6 hadi mwaka ndio anaruhusiwa kuomba likizo.
 
Halafu mkuu mganga wako nani, madili yanakufata tu
ila changamoto alio nayo ni mapenzi yanamtesa, wahuni tukipata hiyo hata huyu mchumba wangu simwambii anaweza kuniroga bure nisiende nikifika huko ndio nampa taarifa, sasa ataamua yeye aniache au vipi
 
ila changamoto alio nayo ni mapenzi yanamtesa, wahuni tukipata hiyo hata huyu mchumba wangu simwambii anaweza kuniroga bure nisiende nikifika huko ndio nampa taarifa, sasa ataamua yeye aniache au vipi
Ndio hivyo mkuu, labda pisi nazo zina baraka aisee.

Yaani kipengele ni mahusiano aisee.
 
Omba likizo bila ya malipo ndefu, nenda huko ukiano mambo yapo matarajio acha kazi juu kwa juu. Na swala la likizo likishindikana acha tu hiyo kazi. kwenye harakati za maisha maeneo ya risk lazima upitie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…