Niacheni nilie maana bado sijasahau yaliyonipata jana yasije kunikuta tena

Mto wetu unakauka

River/Liver si drying


Sijui mto wa kulalia

View attachment 1751491



Sitaki kupitwa

 
Hakuna utawala ambao hauumizi watu. Cha msingi ni kwamba lazima wachache waumie, ili wengi waneemeke. Kwahiyo JPM hata kama aliwaumiza, basi mpo wachache lakini wengi wamefurahia utawala. Mzee wa msoga kama una akili timamu na unatanguliza maslahi ya taifa mbele. Kamwe huwezi kumchagua ukimlinganisha na JPM

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
hata sshetani ana wafuasi haishangazi
 

UHURU JR​

Ni Miji mingapi watu wamekamatwa kwa kusherehekea Mwendazake, eti msichinje wala kunywa wote tulie, sisi wengine tuliweka fulana barabara ni ili kuhakikisha huyu jamaa kaenda au mnatudanganya maana box mlitukataza tusilichungulie
sasa ni Huru katika Nchi iliyobanwa na Sukuma Gang
 
Mimi nazungumzia umati ambao umevunja gate Airport na kuingia ndani kwenda kuona mwili wa Jiwe, nazungumzia umati kiasi cha kukanyagana na wengine kupoteza maisha.
 
Mataga jinga kabisa wewe,lkn pamoja na hayo mishahara ilikua inaongezeka,barabara nchi nzima zilijengwa ,mikopo mpaka div 3 bila kuangalia faculty na shule uliyosoma wanafunzi wote walipewa
 
Kama wamachinga wameruhusiwa kufanya biashara barabarani wewe huoni hayo ni maendeleo , nyie wapingaji tumewachoka , ccm oyeee !!
 
Mimi nazungumzia umati ambao umevunja gate Airport na kuingia ndani kwenda kuona mwili wa Jiwe, nazungumzia umati kiasi cha kukanyagana na wengine kupoteza maisha.
Maigizo ! uliona wapi watu wanazimia huku wameshika mifuko yenye sangara mkononi?
 
Hata hiki kitendo cha kuharakisha kumalizia kulipa deni la hizo ndege nafikiri kuna namna pale watu wanamalizia viporo vya upigaji chap...
 
Maigizo ! uliona wapi watu wanazimia huku wameshika mifuko yenye sangara mkononi?
Nazungumzia ule umati ila unazungumzia hao wachache waliyokuwa wanafanya maigizo. Kuna watu wamepoteza maisha kule au pia ni maigizo?
 
Nazungumzia ule umati ila unazungumzia hao wachache waliyokuwa wanafanya maigizo. Kuna watu wamepoteza maisha kule au pia ni maigizo?
wale ni waigizaji naona hukuwepo wakatiwa Goba-choli hawa vijana wasiokuwa na kazi au fusra za upigaji km SUKUMA GANG ndio wanaobadilishwa upepo mara kwa mara km sasa CAG keshawageuza na wanalaani sana km Daraja la kigongo - Busisi utalisikia tena tupo Bagamoyo sasa
 
namkumbuka jk kwa kunipa ajira Mimi na watoto wengi wa kimaskini maisha ya Kati na matajiri,alituajiri kwa wingi bila upendeleo na wala hakutukalisha sana mtaani tulivyomaliza vyuo,alitupandisha mishahara kila mwaka,jiwe kashindwa kutujali watumishi mwaka wa 7 toka baba mzee kikwete aniajiri sijawahi panda daraja,halafu kuna jitu linakuja hapa na kuleta mharo wake,jpm alitufanyia mabaya watumishi,mama samia ndio nuru yetu,safina imekuja kutuokoa
 
Bado hatuelewani mimi nazungumzia ule umati ila nyie mnazungumzia waigizaji, sehemu ambayo sikutegemea watu kujitokeza ni Zanzibar ila huko waigizaji walikuwepo 😂😂 wapemba nao sijui walikuwa wanamuigizia nani
 
ni sawa uliajiriwa sawa na watoto wa masikini wengi waliajiriwa ni sahihi na pia mlipandishwa madaraja na mishahara pia lakini unajua kilichokuwa kinaendelea,ili kuwalipeninyinyi serikali ilikuwa inafikia wakati inakopa kwenye mabenki ya biashara fedha kwa ajili ya mishahara kwa ufupi mishahara ilikuwa inafikia Bhadi 650 wakati makusanyo ilikuwa B750 hadi 800 niambie huduma zingine zilikuwa zinapata fedha kutoka wapi? hospitali,shule,vyuo nk. furaha yako kwa mshara mnono ilikuwa ni msiba kwa watanzania wengine kwa madawa na madawa nk, kwa maana nyingine ninyi mlikuwa tabaka linalopendelewa kwenye mgaowakeki ya taifa.
sisi tusio ajiliwa hatuwezi kugawiwa hela ila tunatarajia huduma bora za kijamii sio kasungura kadogo wakati fedha yote mnaigawana kulipana mishara minono.
 
umenistua mkuu

Yaani haiwezekani CAG aseme shirika linaenda kwa hasara halafu Waziri mkuu aje aseme wanamalizia kununua ndege...

Huenda watu washaona kuna hati hati ya kupoteza vyeo so wanalipa hizo hela ili wapeane kiinua mgongo then LIWALO NA LIWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…