Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.
Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.
Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua bidhaa zake na kuzitangazia bei kitonga. Kisha watu wanachanga.
Ukiwauliza wao wanapata faida gani hawajibu, maana katika matangazo yao hawaoneshi service charge inakua ngapi. Lakini kuihalisia wanakua tayari ile Bei wameongeza na chajuu Chao. Mfano viatu anavitangaza kwa Bei ya 3000 kwa masharti ya kuichukua pea elfu kumi. Sasa kwa Mchina pea elfu10 unawe kukuta Kila kiatu kikasimama kwenye 1500.
Sasa wao wanachukua 1500 kama malipo Yao.
Sasa ukifanya hesabu 1500* 10000=15,000,000/
Hapo nakula milioni 15 bila jasho
Hongera kwao