Niagize China, angalia wanavyopiga pesa

Niagize China, angalia wanavyopiga pesa

🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha wale jamaa fulani hivi. Wanakuita posta ghorofa ya kumi, wanaki-whiteboard chao na projector. Wanaanza kukupigisha stori za kilimo, utasikia hekari moja inatoa matikiti 6000, tufanye umekosa unapata matikiti 4000. Ambapo bei ya sokoni sijui 3000 we fanya hutaki tamaa unauza....... unaambiwa kwa mwezi unatengeneza hadi 20M+

Sasa ingia battlefield 😁😁😁
Kwanza tangu lini Mafunzo ya kilimo ukafundishiwa posta??Hayo ni yakufundishiwa shamba huko,,ndani ndani sanaa!!
 
Mkuu usisahau Biashara kwa maandishi inalipa sana, ila tafuta Hela alafu fanya
 
🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha wale jamaa fulani hivi. Wanakuita posta ghorofa ya kumi, wanaki-whiteboard chao na projector. Wanaanza kukupigisha stori za kilimo, utasikia hekari moja inatoa matikiti 6000, tufanye umekosa unapata matikiti 4000. Ambapo bei ya sokoni sijui 3000 we fanya hutaki tamaa unauza....... unaambiwa kwa mwezi unatengeneza hadi 20M+

Sasa ingia battlefield 😁😁😁
 
Attachments

  • FB_IMG_1683828107685.jpg
    FB_IMG_1683828107685.jpg
    40.5 KB · Views: 4
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.

Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.

Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua bidhaa zake na kuzitangazia bei kitonga. Kisha watu wanachanga.

Ukiwauliza wao wanapata faida gani hawajibu, maana katika matangazo yao hawaoneshi service charge inakua ngapi. Lakini kuihalisia wanakua tayari ile Bei wameongeza na chajuu Chao. Mfano viatu anavitangaza kwa Bei ya 3000 kwa masharti ya kuichukua pea elfu kumi. Sasa kwa Mchina pea elfu10 unawe kukuta Kila kiatu kikasimama kwenye 1500.

Sasa wao wanachukua 1500 kama malipo Yao.

Sasa ukifanya hesabu 1500* 10000=15,000,000/

Hapo nakula milioni 15 bila jasho

Hongera kwao
Kuishi mjini ni akili na mahesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hesabu ya kizembe sana. Haya India na wewe kafanye biashara hiyo, si umeona ina faida.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha wale jamaa fulani hivi. Wanakuita posta ghorofa ya kumi, wanaki-whiteboard chao na projector. Wanaanza kukupigisha stori za kilimo, utasikia hekari moja inatoa matikiti 6000, tufanye umekosa unapata matikiti 4000. Ambapo bei ya sokoni sijui 3000 we fanya hutaki tamaa unauza....... unaambiwa kwa mwezi unatengeneza hadi 20M+

Sasa ingia battlefield [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti wana kiwhiteboard chao na projector.
"Tufanye wewe hutaki tamaa kama wengine,uza elfu 3 tu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Biashar zote ziko ivyoo utofauti hapo ni aina ya biashara tu kila mfanyabiashara anatak faida alafu biashara ya kuagiza ni risky sana usifikirie faida tu
 
Leta mada lilijua limetumia akiliii kutujuza kumbe ni utopolo na akil hii ndio watz wengi wanayo kuhisi kuibiwa au kupigwa [emoji81][emoji81]
Asa ulitka mtu akuagizie bidhaa bure au
Na biashara bila faida we unaeza fanya?
 
Hapo sijamuona mdau anaitwa TRA unamtaja..... (Customs and Duty); Huyu mdau unaweza kununua kitu senti tano yeye akataka umuachie shilingi

Alaf hawa ndio wanafanya vitu viwe ghali for sure
 
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.

Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.

Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua bidhaa zake na kuzitangazia bei kitonga. Kisha watu wanachanga.

Ukiwauliza wao wanapata faida gani hawajibu, maana katika matangazo yao hawaoneshi service charge inakua ngapi. Lakini kuihalisia wanakua tayari ile Bei wameongeza na chajuu Chao. Mfano viatu anavitangaza kwa Bei ya 3000 kwa masharti ya kuichukua pea elfu kumi. Sasa kwa Mchina pea elfu10 unawe kukuta Kila kiatu kikasimama kwenye 1500.

Sasa wao wanachukua 1500 kama malipo Yao.

Sasa ukifanya hesabu 1500* 10000=15,000,000/

Hapo nakula milioni 15 bila jasho

Hongera kwao
Unahesabu faida kwa kuandalia hiyo 1500 aliyoipata kati ya 3000?
Ingekua ni rahisi hivyo basi watu wasingekuwa wananunua mayofali ili wajenge bali wangekuwa wanafyatua wenyewe.
Ingia mzigoni uone utakavyokata pumzi mapemam
 
Usijichanganye ukapokea hela za watu uwaagizie mizigo utajua hujuii mambo yakizinguaa faizaa kaishia kuitwa tapeliii ni risk kubwa.
 
Back
Top Bottom