Niagize China, angalia wanavyopiga pesa

Kwanza tangu lini Mafunzo ya kilimo ukafundishiwa posta??Hayo ni yakufundishiwa shamba huko,,ndani ndani sanaa!!
 
Mkuu usisahau Biashara kwa maandishi inalipa sana, ila tafuta Hela alafu fanya
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1683828107685.jpg
    40.5 KB · Views: 4
Kuishi mjini ni akili na mahesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hesabu ya kizembe sana. Haya India na wewe kafanye biashara hiyo, si umeona ina faida.
 
Eti wana kiwhiteboard chao na projector.
"Tufanye wewe hutaki tamaa kama wengine,uza elfu 3 tu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Biashar zote ziko ivyoo utofauti hapo ni aina ya biashara tu kila mfanyabiashara anatak faida alafu biashara ya kuagiza ni risky sana usifikirie faida tu
 
Leta mada lilijua limetumia akiliii kutujuza kumbe ni utopolo na akil hii ndio watz wengi wanayo kuhisi kuibiwa au kupigwa [emoji81][emoji81]
Asa ulitka mtu akuagizie bidhaa bure au
Na biashara bila faida we unaeza fanya?
 
Hapo sijamuona mdau anaitwa TRA unamtaja..... (Customs and Duty); Huyu mdau unaweza kununua kitu senti tano yeye akataka umuachie shilingi

Alaf hawa ndio wanafanya vitu viwe ghali for sure
 
Unahesabu faida kwa kuandalia hiyo 1500 aliyoipata kati ya 3000?
Ingekua ni rahisi hivyo basi watu wasingekuwa wananunua mayofali ili wajenge bali wangekuwa wanafyatua wenyewe.
Ingia mzigoni uone utakavyokata pumzi mapemam
 
Usijichanganye ukapokea hela za watu uwaagizie mizigo utajua hujuii mambo yakizinguaa faizaa kaishia kuitwa tapeliii ni risk kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…