city bookstore
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 375
- 987
Boss nnahitaji Hydrocollator +255753123384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba Yako haijakaa poa...! Ila tuna weza kuwasiliana if you are serious +971581480619Boss nnahitaji Hydrocollator +255<53123384
Walau umenisaidia...unajua anayo haki ya kusema hivyo asilimia 99 ya wafanya online business sio waaminifu[emoji24][emoji24][emoji24]
Hao ndio wanao tuharibia waaminifu tuonekane kama ndio wale wale...sisi kama watanzania nikiwemo Mimi inabidi tuwe wa mfano...ili mtu akiwa mtandaoni ajione kama yupo mtaani kwake...! Awe huru na salama...!
Huku duniani mtandao ni salama kuliko mtaa...
Huku dala dala na tren zinaongozwa kimtandao bila kondakta na wote wanalipa nauli...!
Nitashukuru sana Kaka ,ngoja nijitafute nije kutembea huko tayari nina mwenyeji niliwaza nije huko kufurahi siku moja Ila niliwaza eti wanawainamisha waafrika nikawa napaangalia Kama shimo la choo Ila Sasa nakuja broShukrani sana...! Usijali nitakutumia
Viatu vipo chanika mvaaji yupo Dubai 🤣🤣🤣Vimefanyaje mkuu...au vinaongea...lugha Gani pengine🤣🤣🤣🤣
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!
Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.
Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!
Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!
View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!
Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!
Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!
View attachment 2990274
Sio deira ni daira...🤣🤣🤣 Mimi nipo hapo Al murar...!Ukiwa Deira tusalimiane
Mimi nipo Deira siyo DairaSio deira ni daira...🤣🤣🤣 Mimi nipo hapo Al murar...!
Nitag mkuu kwenye hili swalaNitaanzisha Uzi kwaajili hiyo...wakae kwa kutulia... kwenye Uzi huo nita tapika Kila kitu
Nimeirekebisha hapo boss naomba unichek whatsapNamba Yako haijakaa poa...! Ila tuna weza kuwasiliana if you are serious +971581480619
wewe tuko mtaa mmoja wewe jamaa ila mimi ndio nachanganya maneno...jitahidi tuonaneMimi nipo Deira siyo Daira
Ukifika Swahili food nichek
Zanzibar hivi sasa vitu bei juu sana Bora dar es salaamDubai hapo zanzibar tu unakuwa tajiri