"Niambie", hili neno jibu lake sahihi ni lipi hasa?

"Niambie", hili neno jibu lake sahihi ni lipi hasa?

Mimi huwa nakereka na wale wanaoandika kijingajinga mara poa tyu, mzma ww, mekumith, nk. Huwa nawatoa nduki balaa. Sikuhizi wameanza kuzoea, wanaandika vizuri. Yaani niumize kutafuta pesa kisha niumize kichwa kusoma mwandiko wako! Kichwa hikihiki kimoja, hapana kwa kweli.
 
kuna kitu unakosea, mwanamke akikupa nambie nyingi humaanisha hana interest na ww,

mwanamke aliye na interest na ww atakutania sana badala ya kukwambia nambie au hata akasema ame kumiss


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiukweli mie sijawahi kutumia hilo neno kwa yoyote

Lakini hiko cheo cha upuuzi kimeniuma 😂
Kwakweli hata mimi ningeweza kuedit mda huu ningekatoa ila sasa nishakiweka na kimeshakuwa quoted.

Lakini hebu fikiri kweli mfano nikutumie ujumbe nakusalimia kisha unanijibu alafu nakuambia "nambie". Si utaniona chizi!?
 
Back
Top Bottom