"Niambie", hili neno jibu lake sahihi ni lipi hasa?

"Niambie", hili neno jibu lake sahihi ni lipi hasa?

Kuna wale wanaoandika vifupi, wananikera sana yaani.

Sana anaandika xn,
Poa anaandika p,
Tuonane anaandika 2o8,
Nakuja anaandika nkj.

Mm nawaambia kabisa sikuelewi.
Aiseeee...Kuna mtu alikua anaandika hivyo nilikua nashangaa Sana...piga anasema pig...Sasa nikawa nashangaa huyu ananiita nguruwe..ila Saiv tukichat anaandika maneno full..na Wala sikumwambia. Naona Ni nimemu influence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafupisha maneno wengi ni watumia simu za vitochi,
Kubofya kazi jamani asikwambie mtu
 
Back
Top Bottom