Hahaha, kuna vile vitoto ukikisalimia kinakujibu "Poa tyuu"
inakera sanaAchana na huyo. Kuna mwingine anakupigia simu halafu anabaki kuguna gun tu. Mara , enhe! Nakusikiliza n.k wanakera sana mimi huea nakata simu na akirudia kupiga nakata.
Kwahiyo mtu akikutumia Niambie" tayari ashakuwa mpuuzi?!!!
Dah!.......nimekumbuka π©
Sikujua kama mtapita huku bana. Hivi nyie mbona sikumbuki mkiniambia "nambie"? Nahisi mtakuwa mmechanganya mafile. ππLeo hii nimekuwa mpuuzi?maisha yanaenda kasi kinyamaaaaππππ
Aisee mimi sijachanganya π©π©Sikujua kama mtapita huku bana. Hivi nyie mbona sikumbuki mkiniambia "nambie"? Nahisi mtakuwa mmechanganya mafile. ππ
Kiukweli mie sijawahi kutumia hilo neno kwa yoyoteSikujua kama mtapita huku bana. Hivi nyie mbona sikumbuki mkiniambia "nambie"? Nahisi mtakuwa mmechanganya mafile. ππ
Serious hebu kumbuka vizuri. Usijibu haraka chukua muda kuvuta kumbukumbu. πAisee mimi sijachanganya π©π©
Nakumbuka vizuri sana, daah! ππ€£π€£
Kwakweli hata mimi ningeweza kuedit mda huu ningekatoa ila sasa nishakiweka na kimeshakuwa quoted.Kiukweli mie sijawahi kutumia hilo neno kwa yoyote
Lakini hiko cheo cha upuuzi kimeniuma π
Kwakweli hata mimi ningeweza kuedit mda huu ningekatoa ila sasa nishakiweka na kimeshakuwa quoted.
Lakini hebu fikiri kweli mfano nikutumie ujumbe nakusalimia kisha unanijibu alafu nakuambia "nambie". Si utaniona chizi!?
Kweli bora ukae kimya tuHilo neno linakata "stimu' ya kuchat kwa kweli