mimi hua nahisi kama mtu amenidharau.OK...anakuandia k...
Powa anaandika p..
Inakera sio kidogo ukizingatia ni mtu mzima na ameenda na shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee...Kuna mtu alikua anaandika hivyo nilikua nashangaa Sana...piga anasema pig...Sasa nikawa nashangaa huyu ananiita nguruwe..ila Saiv tukichat anaandika maneno full..na Wala sikumwambia. Naona Ni nimemu influenceKuna wale wanaoandika vifupi, wananikera sana yaani.
Sana anaandika xn,
Poa anaandika p,
Tuonane anaandika 2o8,
Nakuja anaandika nkj.
Mm nawaambia kabisa sikuelewi.
Kuna.mtu anakuamdikia Pig...anamaanisha piga Sasa hiyo a ya mwisho Ina shida gani kuandikakuna ile mtu anakutext "pga" ndio amemaanisha nipigie kiukweli inakera.
katika jambo ambalo sielewi kabisa hahhaha tena kwangu ukukaa vibaya sikupigii kabisaa.Kuna.mtu anakuamdikia Pig...anamaanisha piga Sasa hiyo a ya mwisho Ina shida gani kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ukweli hua nashangaa mtu kufupisha maneno. Mbona kuandika neno lote haichukui muda mrefukatika jambo ambalo sielewi kabisa hahhaha tena kwangu ukukaa vibaya sikupigii kabisaa.