Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Naahidi nita mpenda daima Nuzulati, sito fanya kosa la kijinga😍.Kaka Intelligent businessman tayari huku, sasa nisikie unamletea shida shem wangu wa pekee uone.
Shem Nuzulati pole na kukufanya utype.
Huoni kama mnaharibu uzi wa mwenzenu? Kwani hakuna nyuzi zingine za kuchat na kubebishana muende huko? Nyang'au nyie.Nenda wewe mkuu kama unataka huko pm. Tupo chit chat and jokes. Usiriazi wako peleka jukwaa la intelligence au siasa.
Imeisha hiyo dingi. 6 february 2024 20:05pmNaahidi nita mpenda daima Nuzulati, sito fanya kosa la kijinga😍.
Bila shaka haya yote unaowafanyia ni wanaume wa dar usije ukajaribu hii kitu mkoani tutakuuaHappy new year wananzengo
Leo nimetoka kufanya tukio moja hadi nimekaa hapa najitafakari naishia tu kujionea aibu hadi naandika uzi hapa saa hii....
Kwanza kabisa mimi ni mtu mmoja hivi mtulivu sana nyuma ya keyboard, yaani ni mpole mnoo.. Ni aina ya watu ambao hua nakua vibe nikiwa alone, either ofisini au nikiwa chumbani kwangu alone, yaani naweza nikawa na tamasha la kipekeyangu nikaimba na kucheza miziki yote unayoijua kuanzia rhumba, bongo flavor, amapiano, hadi za gospel ilimradi tu zina vibe.. Au sometimes naweza nikawa najifanyia fashion show navaa nguo zote najipakaa makeup natembea kuzunguka chumba kizima with good music..Lakini yote hayo nafanya nikiwa alone,, Yaani nikiwa nje na chumbani au ofisini kwangu nakua mtu wa tofauti kabisa and nobody knows ninayoyafanyaga nikiwa alone😆😆😆
Back to the topic... Mimi Leejay nina hasira za karibu mno kiasi kwamba sijawahi kujizuia nikikwazika, yaani mtu akiniudhi naweza kufanya kitu kila mtu anabaki anajiuliza hivi ni huyu kweli au amepandwa na mashetani au ni kitu gani... Nitasimulia mojamoja ambayo nimeyafanya tu mwaka jana na mwaka huu hadi leo maana ni Mengi mno..
No.1
Ilikua mwaka jana kama mwezi wa pili hivi., Nilishikwa na tumbo vidonda vilichachamaa hatari hadi kutembea nilikua siwezi nikabebwa hadi kufika hospitali napita kutapika njia nzima.., tukafika na hali niliyokua nayo ilibidi wagonjwa wote wanipishe kwanza mimi niingie kwa daktari.. nikaanza kuulizwa ulizwa pale mama akawa anatoa maelezo mimi nikiwa siwezi kukaa vizuri nahangaika tu pale kitandani natapika kwelikweli... Asa mle ndani ukiachana na doctor kulikua pia na Manesi wawili mmoja ni mtu mzima kidogo around 42 hivi na mwingine ana kama 26 hivi hadi 28... Yule mdogo nikasikia anamwambia yule mmama, ""Hawa mabinti hawana akili kabisa yaani usikute hapo kuhangaika kote huko ametoa mimba halafu anawasumbua tu baba na mama yake saizi asubuhi yote hii "", Yule mmama akasema unadhani mi siwajui hawa, ukute ni Nyege tu zinamsumbua hana lolote....
Aisee nilikasirika nikashindwa kujizuia nikanyanyuka nikamrukia yule mama teke akaanguka chini ameduwaa nikanyanyuka nimemkunja roba yule mwingine huku natetemeka mishipa ya kichwa imenisimama naongea kwa ukali mnasemaje nyinyi.... Wanajifanya kushangangaa huyu vipi??, nikamwachia mkono mmoja nikamtandika makofi huku ninatetemeka jasho mwili mzima😆😆😆 hapo yule mmama amengukia kwenye ndoo nadhani ilikua na maji machafu sijui alikua anadeki bado hata sikumbuki,,. ile nataka nimfate yule mama dokta na mama wakanishika mikono wanawauliza kwani nyie mmemfanya nini wanaanza kubabaika wanasema uongo nikasimama tena kwa nguvu nikawa na wafata yule mama akakimbilia nje akabaki mdogo nikataka kumpiga teke akakwepa matapishi yalijaa mdomoni nikatemea yote usoni...
Baada ya pale sikuelewa nini kiliendelea nakuja kustuka niko wodini baba angu anacheka hana mbavu sikutaka hata kuuliza kimetokea nini nikajigeuzia upande mwingine nikalala, ila wakati niko mle ndani niliona tu manensi wakionyeshana ndo huyu ndo huyu hata sikuuliza chochote nikikumbuka nacheka tu mwenyewe
Dem wangu nliyempenda sana alinicheat nikachukia nikamcheat na mdogo wake tukaachana akavurugwa akawa anatiwa ovyoovyo afu moyo unaniuma na yeye anaumia balaa mimi kutoka na mdogo wake tukarudiana ila sasa ana cycle yake na mm nina cycle yangu baadae tukaachana mazimaHappy new year wananzengo
Leo nimetoka kufanya tukio moja hadi nimekaa hapa najitafakari naishia tu kujionea aibu hadi naandika uzi hapa saa hii....
Kwanza kabisa mimi ni mtu mmoja hivi mtulivu sana nyuma ya keyboard, yaani ni mpole mnoo.. Ni aina ya watu ambao hua nakua vibe nikiwa alone, either ofisini au nikiwa chumbani kwangu alone, yaani naweza nikawa na tamasha la kipekeyangu nikaimba na kucheza miziki yote unayoijua kuanzia rhumba, bongo flavor, amapiano, hadi za gospel ilimradi tu zina vibe.. Au sometimes naweza nikawa najifanyia fashion show navaa nguo zote najipakaa makeup natembea kuzunguka chumba kizima with good music..Lakini yote hayo nafanya nikiwa alone,, Yaani nikiwa nje na chumbani au ofisini kwangu nakua mtu wa tofauti kabisa and nobody knows ninayoyafanyaga nikiwa alone[emoji38][emoji38][emoji38]
Back to the topic... Mimi Leejay nina hasira za karibu mno kiasi kwamba sijawahi kujizuia nikikwazika, yaani mtu akiniudhi naweza kufanya kitu kila mtu anabaki anajiuliza hivi ni huyu kweli au amepandwa na mashetani au ni kitu gani... Nitasimulia mojamoja ambayo nimeyafanya tu mwaka jana na mwaka huu hadi leo maana ni Mengi mno..
No.1
Ilikua mwaka jana kama mwezi wa pili hivi., Nilishikwa na tumbo vidonda vilichachamaa hatari hadi kutembea nilikua siwezi nikabebwa hadi kufika hospitali napita kutapika njia nzima.., tukafika na hali niliyokua nayo ilibidi wagonjwa wote wanipishe kwanza mimi niingie kwa daktari.. nikaanza kuulizwa ulizwa pale mama akawa anatoa maelezo mimi nikiwa siwezi kukaa vizuri nahangaika tu pale kitandani natapika kwelikweli... Asa mle ndani ukiachana na doctor kulikua pia na Manesi wawili mmoja ni mtu mzima kidogo around 42 hivi na mwingine ana kama 26 hivi hadi 28... Yule mdogo nikasikia anamwambia yule mmama, ""Hawa mabinti hawana akili kabisa yaani usikute hapo kuhangaika kote huko ametoa mimba halafu anawasumbua tu baba na mama yake saizi asubuhi yote hii "", Yule mmama akasema unadhani mi siwajui hawa, ukute ni Nyege tu zinamsumbua hana lolote....
Aisee nilikasirika nikashindwa kujizuia nikanyanyuka nikamrukia yule mama teke akaanguka chini ameduwaa nikanyanyuka nimemkunja roba yule mwingine huku natetemeka mishipa ya kichwa imenisimama naongea kwa ukali mnasemaje nyinyi.... Wanajifanya kushangangaa huyu vipi??, nikamwachia mkono mmoja nikamtandika makofi huku ninatetemeka jasho mwili mzima[emoji38][emoji38][emoji38] hapo yule mmama amengukia kwenye ndoo nadhani ilikua na maji machafu sijui alikua anadeki bado hata sikumbuki,,. ile nataka nimfate yule mama dokta na mama wakanishika mikono wanawauliza kwani nyie mmemfanya nini wanaanza kubabaika wanasema uongo nikasimama tena kwa nguvu nikawa na wafata yule mama akakimbilia nje akabaki mdogo nikataka kumpiga teke akakwepa matapishi yalijaa mdomoni nikatemea yote usoni...
Baada ya pale sikuelewa nini kiliendelea nakuja kustuka niko wodini baba angu anacheka hana mbavu sikutaka hata kuuliza kimetokea nini nikajigeuzia upande mwingine nikalala, ila wakati niko mle ndani niliona tu manensi wakionyeshana ndo huyu ndo huyu hata sikuuliza chochote nikikumbuka nacheka tu mwenyewe
Khabity hatuto fikia huko😂😃Sitofungua uzi humu kuomba msaada ni hitimisho tu litapatikana😁😁
Nimebebishana na nani? Kwanini iwe nyuzi nyingine, huko kwenye nyingine hatuwezi kuharibu?Huoni kama mnaharibu uzi wa mwenzenu? Kwani hakuna nyuzi zingine za kuchat na kubebishana muende huko? Nyang'au nyie.
😁😁😁Nenda wewe mkuu kama unataka huko pm. Tupo chit chat and jokes. Usiriazi wako peleka jukwaa la intelligence au siasa.
Tafuta tu pesa msichana, uwe nazo nyingiii, sio za kula kuvaa na kuweka bundle. Maana iko siku utajikuta una murder case na ukose wadhamini, sijui utahonga nini police?Nikapiga hesabu za haraka haraka nikaona sina cha kumfanya
Kabla sijakata tamaa kichaa changu kikapanda, nilikua na mtoto wake ndani mle ni kidogo tu kinatambaa bado ndo kinajifunza kusimama,, mezani kwao kulikua na chili halafu haijafungwa vizuri nikasema hii itanifaa sana.. Nikamnyanyua mtoto nikamsogeza karibu na mguu wa meza, meza yenyewe mbovu mbovu halafu fupi, nikafungua chili nikamwagia kwenye paji la uso nikaacha inamshukia taratibu taratibu machoni, nikamshikisha mkononi kopo la chili huku limeinama.. nikarudi kwenye kochi nikajifanya niko busy na simu kama sio mimi vile
Duh... hapa ulipitiliza aiseeNo4..
Kuna rafiki yangu mmoja nilisomaga nae olevel, ana mtoto saizi ..namdai hela yangu ya mda hadi leo bado hajanilipaga hadi nimeamua nimsamehe tu sasa maana sina namna....
Mwanzo wakati deni bado bichi bichi halijawa sugu, kuna siku nilikua sina hata buku nikasema ngoja nikamdai, nyumbani kwetu na kwao sio mbali unapita nyumba kama sita tu hivi unavuka barabara nyumba yao ipo barabarani tu.. Mama yake pale nje anauza supu, chapati, sambusa, kachori na vitu kama hivyo yani pamechangamka kiasi...
Nimefika hadi pale nikaongea nae kuhusu ile hela akaniambia hana, nikamkazia mimi sina hata hela leo naomba unilipe akanibembeleza pale akaniambia hana nimwongezee siku atanilipa.. Basi bwana nikaishiwa pozi nikabaki tu naangalia nae TV maana nilichoka mwili roho hadi nafsi,, mda wote huo si tupo ndani mama yake alikua kule nje na shughuli zake, nyingine., Kulikua na wateja wengi wengi kidogo akamwita akaenda kumsaidia kuwahudumia, Kochi nililokua nimekaa mimi lipo kwa upande wa dirisha linaloangalia pale nje kibarazani, na madirisha yao hayana vioo ni waya tu ule wa mbu basi...
Bwana wee mimi na umbea wangu si nikasikia walivyokua wanaongea, mama yake akamuuliza " kwani Lee hadi leo bado hujamlipa hela yake ile,??".. Yeye akajibu " Unadhani nitampa leo au kesho?, hiyo asahau, hana shida na hela huyo, ilikua gear tu ya kuja kuniona hana lolote "". Mama yake akacheka na yeye akacheka,, Aisee nilipatwa na hasira nikasema huyu ndo wakunifanyia mimi hivi kweli... Nikapiga hesabu za haraka haraka nikaona sina cha kumfanya
Kabla sijakata tamaa kichaa changu kikapanda, nilikua na mtoto wake ndani mle ni kidogo tu kinatambaa bado ndo kinajifunza kusimama,, mezani kwao kulikua na chili halafu haijafungwa vizuri nikasema hii itanifaa sana.. Nikamnyanyua mtoto nikamsogeza karibu na mguu wa meza, meza yenyewe mbovu mbovu halafu fupi, nikafungua chili nikamwagia kwenye paji la uso nikaacha inamshukia taratibu taratibu machoni, nikamshikisha mkononi kopo la chili huku limeinama.. nikarudi kwenye kochi nikajifanya niko busy na simu kama sio mimi vile,, huwezi amini ilipita kama dakika moja tu mama yake huyo rafiki yangu akaingia ndani.. niliogopa lakini hakuniona[emoji26][emoji26]
Akaanza kumfokea mwanae yani unajua mtoto alivyo na fujo halafu unamwacha tu njoo ona alichokifanya, na mimi nikajifanya nashangaa shangaa, mtoto alikua analia hatari.. nikazugazuga nikaaga kuondoka nikaacha wapo wanahangaika na mtoto..
Hili tukio nalijutia sana aisee Mungu tu anisamehe[emoji120][emoji2356][emoji2953]
Nadhani leo tuishie hapa wapendwa
Jomba ana bipolar disorder huyo😃Nimebebishana na nani? Kwanini iwe nyuzi nyingine, huko kwenye nyingine hatuwezi kuharibu?
Haya yametokea kutokana na mtiririko wa uchangiaji mada. Narudia tena tupo chit chat and jokes jukwaa linaruhusu haya.
Achana nae kama lililomleta ni hilo acha aendelee.Jomba ana bipolar disorder huyo😃
Duuh, bora mlivyoachana maana sio kwa cycle hizo🤒🤒Dem wangu nliyempenda sana alinicheat nikachukia nikamcheat na mdogo wake tukaachana akavurugwa akawa anatiwa ovyoovyo afu moyo unaniuma na yeye anaumia balaa mimi kutoka na mdogo wake tukarufiana ila sasa ana cycle yake na mm nina cycle yangu baadae tukaachana mazima
Sukari imepanda bei ila wewe umeweka sukari nyingi sana kwenye hii chai yako. Pia chai hii imepoa sana. Ingetakiwa uichemshe kidogo.No3. ( Hii imenitokea leo mchana huu)
Kama kawaida yangu nimetoka zangu lunch nikapita kwa wakala nikasave vya kusave nikawa narudi mdogo mdogo,,. kwa ambao wameishi songea nadhani wanaijua njia ya kutoka bombambili stand kushuka matarawe inavyokuaga na msongamano wa magari na pikipiki hasa malori ya makaa ya mawe yanayotoka kule mgodini mengi yanapita njia hii.. Yaani ni njia ambayo sio mtu utembee huku unachat unaweza kubetuliwa mguu, na mabodaboda wa huku walivyo wavuta bangi😃😆
Asa wakati niko zangu nashuka taratibu sina hili wala lile malori yamepangana kwelikweli mbele yangu amesimama mkaka ni mchafu halafu ana macho mekundu na sigara ameshika mkononi,, ametanua mikono yake eti anataka anikumbatie... Suruali yake kwanza haina zipu kidude tu kinaonekana kimebuka vumbi jekundu, Nikasema Mungu wangu nini hiki😥😥, kushoto na kulia hakuna hata pa kumpishia mtaro tu mrefu hata siwezi kuruka, na je nikiruka nikadondoka si nitachekwa mimi jamani...
Hasira zikanipanda nikamwambia kwa upole naomba nipishe, hanielewi ananisogelea tu, nikamwambia kwa ukali nipishe haelewi,, Hapo kichaa changu kishapanda nikasema liwalo na liwe nikamtanulia mikono na mimi kama nataka kumhug naona anakuja mzima mzima. Alivyosega karibu tu nikaruka ameanguka chini vibaya sana halafu nyuma kuna boda ilikua inakuja kasi ikabana break mimi nimekwepa, Nimewaacha huko wanajua amegongwa na boda kumbe nilichomfanyia mkaka wa watu Mungu ndo anajua🤣🤣🤣🤦♀️
Nimerudi ofisini hapa sina amani nasubiri tu nije kuitwa maana watu waliniona,, naomba tu asife maanaa...
Ila binti chugah 😃😀, Sema kweli- maana Kuna watu Wana Roho kavu.Tafuta tu pesa msichana, uwe nazo nyingiii, sio za kula kuvaa na kuweka bundle. Maana iko siku utajikuta una murder case na ukose wadhamini, sijui utahonga nini police?
Au utakuja kuingia 18 za walioshindikana wakufanyie maajabu, tuje kukusoma
Magazetini.
.
kuhusu pesa za kuhonga hilo ondoa shaka maana nimezaliwa nazo kipenzi, na zinaendelea kuwepo. Yaani zipo kwenye chainTafuta tu pesa msichana, uwe nazo nyingiii, sio za kula kuvaa na kuweka bundle. Maana iko siku utajikuta una murder case na ukose wadhamini, sijui utahonga nini police?
Au utakuja kuingia 18 za walioshindikana wakufanyie maajabu, tuje kukusoma
Magazetini.
Kingine, sali sana hizo hasira zikutoke. Watoto ni malaika, ila wewe umeenda kummwagia chill sauce??? Huoni unaweza kumkaba/ kumchoma mtoto pasi siku akimess up? Hichi ulichokifanya hapa sidhani kama ni roho ya kawaida.
Ni kweli ameenda mbali nadhani "Bapa la Konyagi lilimpeleka high" miss cha Pombe wetu depal.kuhusu pesa za kuhonga hilo ondoa shaka maana nimezaliwa nazo kipenzi, na zinaendelea kuwepo. Yaani zipo kwenye chain
Umeenda mbali sana aisee... Anyways thanks