Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Nimekosa la kusema, ila kwingine unaweza ukaumia vibaya sana.
 
Sababu ya matendo uliyo hadithia kuwa umeyatenda.
Shida ni kwamba sikuomba ushauri... ulisoma ukaona kuna mahali nimeomba ushauri best?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ., najua namna ya kujishughulika kipenzi
Anyways thanks
 
Dahhh!!!.. Leejay49 basi. Wewe utakua mfupi wa kimo maana ndio tabia zao hizi akina Zakayo hawajiamini amin kabisaa na wazito kutumia logic wanapenda kupigana pigana. Mimi ningekuvunja shingo wallah!.
Ahahahh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Usiniambie beib unataka kuniacha kwa sababu hiyo πŸ˜₯πŸ˜₯
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…