Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Peleka Facebook.
 
Naa naam nasema ni huyo hendsamu ndo alikua hivo
Ungekutana na watoto wa mbwa
Watoto wa dampo

Ungeona adivataizi zetu
Unakula internal combustion engine unachemkia pembeniπŸ˜†
 
Naa naam nasema ni huyo hendsamu ndo alikua hivo
Ungekutana na watoto wa mbwa
Watoto wa dampo

Ungeona adivataizi zetu
Unakula internal combustion engine unachemkia pembeniπŸ˜†
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ₯²πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
i will be right back
 
Nilijirusha kutoka kwenye canopy nikiwa mtoto upuuzi huo sitorudia maumivu yake yalikuwa balaa
 
Natembea kutoka home hapa mpk town, just to cool my mind.
Kuna vitabu ni jau aisee, brain Ina Ganda kwa mda.
 
Nimechekaa balaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungekuwa serious kidoogo na mimi ningesimulia wakati nilivyokuwa mujibu wa sheria jinsi nilivyo mtukana yule MP nikamwambia hilo gwanda lako bila bawa la Komando ni dera tu. πŸ₯²
 
Kumpiga mtoto wa mtu makofi Cc Fake P Cc ephen_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…