Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Kumbe Mkorofi wewe!
 
Happy new year ishaisha tangia January 15 saiv hatupaswi kutakiana new year tena
 
No3. ( Hii imenitokea leo mchana huu)

Kama kawaida yangu nimetoka zangu lunch nikapita kwa wakala nikasave vya kusave nikawa narudi mdogo mdogo,,. kwa ambao wameishi songea nadhani wanaijua njia ya kutoka bombambili stand kushuka matarawe inavyokuaga na msongamano wa magari na pikipiki hasa malori ya makaa ya mawe yanayotoka kule mgodini mengi yanapita njia hii.. Yaani ni njia ambayo sio mtu utembee huku unachat unaweza kubetuliwa mguu, na mabodaboda wa huku walivyo wavuta bangiπŸ˜ƒπŸ˜†
Asa wakati niko zangu nashuka taratibu sina hili wala lile malori yamepangana kwelikweli mbele yangu amesimama mkaka ni mchafu halafu ana macho mekundu na sigara ameshika mkononi,, ametanua mikono yake eti anataka anikumbatie... Suruali yake kwanza haina zipu kidude tu kinaonekana kimebuka vumbi jekundu, Nikasema Mungu wangu nini hikiπŸ˜₯πŸ˜₯, kushoto na kulia hakuna hata pa kumpishia mtaro tu mrefu hata siwezi kuruka, na je nikiruka nikadondoka si nitachekwa mimi jamani...
Hasira zikanipanda nikamwambia kwa upole naomba nipishe, hanielewi ananisogelea tu, nikamwambia kwa ukali nipishe haelewi,, Hapo kichaa changu kishapanda nikasema liwalo na liwe nikamtanulia mikono na mimi kama nataka kumhug naona anakuja mzima mzima. Alivyosega karibu tu nikaruka ameanguka chini vibaya sana halafu nyuma kuna boda ilikua inakuja kasi ikabana break mimi nimekwepa, Nimewaacha huko wanajua amegongwa na boda kumbe nilichomfanyia mkaka wa watu Mungu ndo anajuaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€¦β€β™€οΈ
Nimerudi ofisini hapa sina amani nasubiri tu nije kuitwa maana watu waliniona,, naomba tu asife maanaa...
 
Ata Kama mwanangu sijui hao walikuwa wanaume wa aina gani teh teh Mimi ningeakikisha nakumaliza na ata meno huna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kidin
Walitaka kunishika bahati nzuri mimi nyepesi, na tena nikivaa suruali naruka popote paleπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀩🀩🀩
 
Sasa naanza kukuelewa kwanini ile siku ulikua unanionya alooohπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…