Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Binafsi ktk maisha yangu sijui tofauti ya shari na heri. Ukinirushia jiwe na mimi nakurushia jiwe, ukinipungia mkono na mimi nakupungia.
 
kuna watu uwezo wa kulipa madeni wanao ila wanapenda mpaka mleteane shida.
 
wewe una ugonjwa wa akili.
 
Babu kwa hasira hizi unadhani nitaweza kuhimili wivu mtoto wa mtu akinicheat kweli?. Au unataka nikaozee segerea😃
 

Hahaha utakuwa una Bipolar sio bure, just joking [emoji23][emoji23]
 
Kuchoma moto nguo zangu tena za kazini.Wangejua mwenzao nilikuwa nawaektia mapicha wala wasingesumbua akili zao.Nikawa nawacheka kimoyo moyo eti huyu karogwa kazini,wengine pombee hizoo wengine ndio hasira zake zilivyo.Kumbe usanii mtupu nawafanyia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…