Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

Usijaribu tena huo upuuzi. Utakufa vibaya.
 
Kuchoma moto nguo zangu tena za kazini.Wangejua mwenzao nilikuwa nawaektia mapicha wala wasingesumbua akili zao.Nikawa nawacheka kimoyo moyo eti huyu karogwa kazini,wengine pombee hizoo wengine ndio hasira zake zilivyo.Kumbe usanii mtupu nawafanyia.
Asa kwanini ulikua unaekti mkuu??
 
kama sio chai jitahidi ubadilike rafiki, sio vizuri sana, siku isiyo na jina utaanguka pabaya.

ila hayo ya chumbani ukiwa peke yako nimeyapenda.
 
kama sio chai jitahidi ubadilike rafiki, sio vizuri sana, siku isiyo na jina utaanguka pabaya.

ila hayo ya chumbani ukiwa peke yako nimeyapenda.
Nadhani wenye hasira kama zangu wamenielewa,, inakujaga tu automatic mkuu ukishatulia ndo unaanza kujutia na kujicheka kama hivi..
Hayo ya chumbani ndo vibe langu every morning Niko na imaginary conceit 😂😂😃
 
jitahidi bwana, siku ukiwa na watoto si unaweza kuwafanya vibaya baadae ukajilaumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…