Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

Kama siyo mjinga unapotosha kwa makusudi! Mfano wewe umeajiriwa January mwaka huu unataka upate increment sawa na aliyeajiriwa July mwaka jana? Be sensible guy!

Annual Increment inaangalia mwaka wa fedha wa Serikali, haiangalii hizo alogarithms za mwaka wako wa kuajiriwa.

Kasome Standing Order G.4 2009 , pamoja na Public Service Act ( CAP 102 of 2022) kwa rejea zaidi.
 
Sibishani na nguruwe! Ni Haram!

Nimekuelewa sana
Thanks
 
Na huu ndo utumishi wa umma tukae humo[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Rais Bora wa matope ya bandari kama chekechea bure kabisa
Atabaki kuwa Raisi bora mpaka Sasa
Hii kuwa na balls za kumkosoa enzi za mwenda tulikuwa hatuna.

Ajira anazotoa ni kielelezo tosha, Sasa watoto wa masikini wanatabasamu.

Angalia mazuri yake kwanza, ila Swala la bandari wamemtwisha bomu
 
Alikuwa honest!?
Ile 1.5T aliitolea maelezo wapi?
 
Acha kudanganya haipo hivyo.km hujui kitu ni Bora kunyamaza.
Nyongeza huwa kwa wote.Haiangalii mwezi was ajira na pia nyongeza ya serikali ni mwezi wa 7.km itatokea jambo lingine na kuifanya mwezi mwingine basi Hilo ni jipya.
 
Jiwe alikuwa mvunjifu wa sheria na taratibu; ndo maana hata mishahara aligoma kuongeza kwa miaka 6 bila kujali sheria, Jiwe alikuwa mdudu wa HOVYO!
Kumbe hakukuwa na ongezeko la mshahara kwa miaka yote ya awamu ya 5?
 
Huu uzi uendelee hadi mshahara wa mwezi july ndio mtapata majibu mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…