mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,930
Hiyo katiba nitaifumua. Nitaitisha referendum on constitution. Wananchi watapigia kura mapendekezo wanayotaka yawemo kwenye katiba. Serikali itakuwa ya wananchi na si ya viongozi. Wananchi watakuwa na nguvu ya kumtoa kiongozi yeyote madarakani.Tanzania shida sio mgombea tatizo hatuna mpango mkakati wa muda mrefu na mfupi
BRN na wengine mkukuta ,mkurabita haya yote yalikuwa machaka ya upigaji
Pia katiba yetu ya 1977 ndio kimeo kingine
Hii itakua zaidi ya uhuruHiyo katiba nitaifumua. Nitaitisha referendum on constitution. Wananchi watapigia kura mapendekezo wanayotaka yawemo kwenye katiba. Serikali itakuwa ya wananchi na si ya viongozi. Wananchi watakuwa na nguvu ya kumtoa kiongozi yeyote madarakani.
Mkuu tume ya mzee warioba imetumia kodi zetu nyingi mnooHiyo katiba nitaifumua. Nitaitisha referendum on constitution. Wananchi watapigia kura mapendekezo wanayotaka yawemo kwenye katiba. Serikali itakuwa ya wananchi na si ya viongozi. Wananchi watakuwa na nguvu ya kumtoa kiongozi yeyote madarakani.
Mkuu tuwe pamoja hadi 2025 tuijenge Tanzania mpya.Mkuu tume ya mzee warioba imetumia kodi zetu nyingi mnoo
Sipingani na wwe muda ukifka nipo bega kwa bega na wwe
Tuombeane uzima mkuuMkuu tuwe pamoja hadi 2025 tuijenge Tanzania mpya.
Nataka Tanzania iweke historia duniani. Mataifa mengine yaje kuiga sera za Tanzania.Hii itakua zaidi ya uhuru
Sawa mkuu.Tuombeane uzima mkuu
Na lazima tuwe na social contract
Sijawahi kumwona konda msafi kama wewe. Tunaomba na Makonda arudishwe kuwa RC ama hata awe assistant PMNataka Tanzania iweke historia duniani. Mataifa mengine yaje kuiga sera za Tanzania.
Mkuu tunza kura yako. Muda ukifika nitaihitajiKongole
Mkuu Makonda anaingiaje tena hapa?Sijawahi kumwona konda msafi kama wewe. Tunaomba na Makonda arudishwe kuwa RC ama hata awe assistant PM
Mapenzi na urais ni vitu viwili tofauti. Ila tu kitu nitakachowahakikishia wapiga kura wangu ni kwamba nitawapenda kama nilivyompenda Khumbu hivyo nitajitoa sadaka kuwatumikia.Mkuu kama Khumbu yule demu wako alikutesaa vile.Hii nchi ukipewa utakufa hata mishahara mitano ya uraisi haitafika tutakuwa tumeshakufukia.
Picha za Khumbu zitakuwa zinaonyeshwa kwenye mikutano ya kampeni kwa hiyo usiwe unaacha kufika kwenye kampeni.Ukituma pics ya khumbu Napiga Kura ya ndiyo
Hizo ni changamoto ndogo sana kwangu nikiwa rais. Nitatoa kauli moja tu kwa kamishna wa TRA aachane na kodi zote kandamizi. Sheria ya kodi itarekebishwa ndani ya siku 30 baada ya kuapishwa kwangu.Rais eeeeh,vp kuhusu kodi ya kugombolea gari bandarini kuwa kubwa kuliko bei ya gari lenyewe??