Akili Sina
JF-Expert Member
- Jan 18, 2018
- 303
- 2,248
Kwani maisha ni mpaka ghorofa mzee????
Ananipa vyote nini na nini mkuu?7 tu kila kitu unabaki na million 2 na chenchi za kwenda kumhonga manengelo anakupa vyote
Mkuu, usiwe na hasira sana dhidi ya huyu ndugu.Dogo ntakupiga risasi
Konyo7 tu kila kitu unabaki na million 2 na chenchi za kwenda kumhonga manengelo anakupa vyote
NoahMkuu, usiwe na hasira sana dhidi ya huyu ndugu.
Tujikite hapa kwenye Kipengele cha kunichagulia gari mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nafanya biashara hii ya duka mkuu, ambapo nimedunduliza hela za mauzo kwa miaka miwili na kupata hicho kiasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
manengelo njoo huku switii kuna vita baridi 😢😢
Toyota mark II Grande GX110 model ya kuanzia 2002 au juu ya hapo kwa 8M tu unaipata ikiwa imenyooka na chenji inabaki.Shikamoni waheshimiwa,
Mimi sijawahi kumiliki gari tangu nizaliwe.
Kazi yangu ni kuuza duka la Mangi,
Kipato changu ni wastani wa Laki 5 kwa mwezi (hakiko imara kabisa; kinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutegemea na hali ya biashara).
Nimedunduliza hela kwa miaka miwili nimepata milioni kumi.
Lengo langu nipate gari la kutembelea mjini na mimi.
Sasa ninachoomba waheshimiwa,
Nichagulieni gari kwa kuzingatia kipato changu hapo juu.
Kuna watu wataniuliza maswali ya kitaalamu hapa,
Mara Injini silinda sita, mara cc za mafuta,
Mimi sina ujuzi huo.
Mimi ninachotaka mnichagulie gari dogo lolote,
Mimi nitaendesha tu ili mradi litoke Japan na mpaka kulipia gharama zote na kuanza kuliendesha kwa uhuru isizidi kiasi tajwa hapo juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli akili huna...Biashara amesema anayo na amedunduliza iyo hela..bora ungemshauri aongeze mtaji au afanye diversification.Hela yako ni ya IST, au Vitz new model.
Ushauri
Hata kama akili sina ila hapa nimekushinda bro.
Hiyo hela kwann usianzishe biashara yako???
Akili sina miee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni kuwapiga risasi no way outAchana naye huyo lov!ana tabia za kike sana!😉
[emoji16][emoji16][emoji16]Konyo
Kweli akili huna, unampangiaje mtu kipato chake nini cha kufanya, kila mmoja wetu ana mahitaji yake kwa wakati fulaniHela yako ni ya IST, au Vitz new model.
Ushauri
Hata kama akili sina ila hapa nimekushinda bro.
Hiyo hela kwann usianzishe biashara yako???
Akili sina miee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota mark II Grande GX110 model ya kuanzia 2002 au juu ya hapo kwa 8M tu unaipata ikiwa imenyooka na chenji inabaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema anauza duka la mangi......akili zangu zinazidi zakoKweli akili huna...Biashara amesema anayo na amedunduliza iyo hela..bira ungemshauri aongeze mtaji au afanye diversification.
Hela yako ni ya IST, au Vitz new model.
Ushauri
Hata kama akili sina ila hapa nimekushinda bro.
Hiyo hela kwann usianzishe biashara yako???
Akili sina miee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu bhana yaan mtu kaomba ushauri jinsi ya kununua gari mtu anashauri ufungue bishara kwan yeye amewambia anataka kufungua biashara
Anyway me sinauelewa kuhusu magar ngoja wenye nia waje wakupe mwongozo