Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

We unamiliki ghorofa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani maisha ni mpaka ghorofa mzee????

Hata kwa hivi vya kawaida tu tunapeana ushauri..
Hata hao wenye maghorofa walianza na nyumba za makuti.......Usijione una ka gari kako , jumapili umavaa kapensi unazungusha kafunguo basi ukaijiona maisha ndo ushayapatiaaa......mwehu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoni waheshimiwa,
Mimi sijawahi kumiliki gari tangu nizaliwe.

Kazi yangu ni kuuza duka la Mangi,
Kipato changu ni wastani wa Laki 5 kwa mwezi (hakiko imara kabisa; kinaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutegemea na hali ya biashara).

Nimedunduliza hela kwa miaka miwili nimepata milioni kumi.
Lengo langu nipate gari la kutembelea mjini na mimi.

Sasa ninachoomba waheshimiwa,
Nichagulieni gari kwa kuzingatia kipato changu hapo juu.

Kuna watu wataniuliza maswali ya kitaalamu hapa,
Mara Injini silinda sita, mara cc za mafuta,
Mimi sina ujuzi huo.

Mimi ninachotaka mnichagulie gari dogo lolote,
Mimi nitaendesha tu ili mradi litoke Japan na mpaka kulipia gharama zote na kuanza kuliendesha kwa uhuru isizidi kiasi tajwa hapo juu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota mark II Grande GX110 model ya kuanzia 2002 au juu ya hapo kwa 8M tu unaipata ikiwa imenyooka na chenji inabaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela yako ni ya IST, au Vitz new model.

Ushauri
Hata kama akili sina ila hapa nimekushinda bro.

Hiyo hela kwann usianzishe biashara yako???

Akili sina miee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli akili huna...Biashara amesema anayo na amedunduliza iyo hela..bora ungemshauri aongeze mtaji au afanye diversification.
 
Hela yako ni ya IST, au Vitz new model.

Ushauri
Hata kama akili sina ila hapa nimekushinda bro.

Hiyo hela kwann usianzishe biashara yako???

Akili sina miee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli akili huna, unampangiaje mtu kipato chake nini cha kufanya, kila mmoja wetu ana mahitaji yake kwa wakati fulani
 
Hela yako ni ya IST, au Vitz new model.

Ushauri
Hata kama akili sina ila hapa nimekushinda bro.

Hiyo hela kwann usianzishe biashara yako???

Akili sina miee!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe umejuaje kama hana biashara yake??

Mtu anataka gari , wewe unaleta mambo ya biashara..


Mshahuri anacho kitaka..

Hii tabia nimeona kwa wana jf wengi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Binadamu bhana yaan mtu kaomba ushauri jinsi ya kununua gari mtu anashauri ufungue bishara kwan yeye amewambia anataka kufungua biashara
Anyway me sinauelewa kuhusu magar ngoja wenye nia waje wakupe mwongozo

There some people are very stupid sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom