Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Nunua RAV 4 Kili Time, utapiga nae misele sana kwa hela hiyo na chenji inabaki, 7M unapata nzuri hapa hapa Dar.. Alafu unaweza safiri nayo mikoani na kupanga safari mbali anytime
Mkuu Kilitime ya 7M hiyo haifai itakuwa imechoka sana, gari kuagiza si chini ya 17 ile
 
We ndo mwehu, masikini na fukara. Mtu mpaka aje na idea ya kununua gari unafikiri biashara hakuziona? Unajuaje kama anazo na ndizo zimempa hiyo pesa?

Unakalia kushauri ukute hapo unalia dagaa mpuuzi wewe na kweli huna akili!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Nissan Extrail nzuri sana namba D iko vyema kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia beforward tafuta gari. Nenda ofisi zao.
Lipa hela bank
Lilifika lipa kodi watakutolea kwa less than 500K.
Ukiagiza kwa hawa mawakala utapigwa 2mil kwa visingizio vingi vya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati flani wakati najiandaa kununua gari niliandaa bajeti kama mleta mada hapa, kilichotokea bei ya kubadilisha dola ilipaa ghafla kitu kilichonifanya nijikute nimetumia pesa zaidi ya ile niliyokuwa nimebajetia so wkt mwingine kunatokea mabadiliko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax dada , vuta pumzi kidogo kisha kunywa maji.

Gari atake kununua mwingine kiherehere kikupate wewe....Au unategemea lift za wanaume wa mjini....Utabakwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una assets gani mkuu tuanzie hapo! Kwa maana poor people wanaanza kununua Liabilities Ndiyo baadae wananunua assets, wakati rich people wanaanza kununua assets kwanza Ndiyo liabilities zinafuata
 
Mkuu Kilitime ya 7M hiyo haifai itakuwa imechoka sana, gari kuagiza si chini ya 17 ile


Gari hiyo hapo👆 anaweza shuka hadi $ 1,600 FOB.. na hadi ifike Dar CIF $ 2,600 hiyo 10 mil utaongeza just 1M unatoa gari total hadi mkononi 11 Mil

Pia fuata hii link hapa Jamiiforums ina Rav 4 Kili Time 2 nzuri sana tu, moja nyeupe na nyingine silver Kwa 7 mil tu..

 
Weka na kodi, naona umeishia hadi ifike dar tu... Pia kwa mkononi sikatai kuwa unaweza pata ya 7M, ishu ni kuwa ipo katika hali gani? Gari unaweza kuta ina miles za kutosha, imerudiwa rangi, imekula mizinga kibao afu unauziwa kwa 7 unajisifu
 
Wewe ndio kima fala na fukara!! Mwenzio kataka ushauri wa kununua gari we unaingiza habari za biashara!! Maskini mna tabu sana hapo ukute wewe hela unamalizia kwenye sherehe na unyago!

Mpumbavu sana wewe na ukoo wako ndo maana ukajisema wazi huna akili!!

NB: mimi ni mwanaume rijali, sio dada ukitaka njoo nikumwagie nikununulie hata bodaboda shwaini wewe.
Relax dada , vuta pumzi kidogo kisha kunywa maji.

Gari atake kununua mwingine kiherehere kikupate wewe....Au unategemea lift za wanaume wa mjini....Utabakwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi usha halibiwa [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…