Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

Mleta mada akivizia magari ya kulenga around tarehe 4-18 January 2020 unaweza kuta anapata hata Kluger kwa hio hela
Nakubaliana nawe mkuu, tatizo kwa sisi tusiokuwa na uzoefu wa hivi vitu hatuchelewi kuuziwa vitu vyenye matatizo mengi au makubwa,
Nd'o maana tunaona bora kukimbilia kununua ambacho hakijatumika hapa nchini,
Ingawa kwa wazoefu wangepata hapahapa bili usumbufu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usikariri sana za Japan hata hizo unaweza pigwa!

Hiyo timing ya January ni nzuri coz watu wanakuaga wamefulia sana so unaweza okota gari nzuri sana kwa bei cheap!
Nakubaliana nawe mkuu, tatizo kwa sisi tusiokuwa na uzoefu wa hivi vitu hatuchelewi kuuziwa vitu vyenye matatizo mengi au makubwa,
Nd'o maana tunaona bora kukimbilia kununua ambacho hakijatumika hapa nchini,
Ingawa kwa wazoefu wangepata hapahapa bili usumbufu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara kubwa umefanya research itakuhitaji mtaji wa shilingi ngapi, matazamio ya mapato yako kwenye hiyo biashara kubwa ni kama kiasi gani kwa siku au mwezi? @udochi
Kiukweli mimi sina vitu ninavyomiliki zaidi ya kiwanja kimoja huko mkoani, na kingine kidogo huko pembeni ya mji pamoja na hili duka dogo tu "la Mangi".
Sasa hapo sijui kama naweza kusema kuna aseti yoyote au laa.

Ila vitu vya thamani kama vile nyumba kwa kweli bado sijabahatika kuvipata, ingawa nia ya kuwa na nyumba na biashara kubwa ipo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom