Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
- Thread starter
- #121
Mimi sio mchaga,
Ila kama bajeti yangu inatosha kununua hilo gari,
Nipe tu ushauri wako muhimu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mchaga,
Fumba macho then jitoe mhanga, vuta Brevis.
Nadhani kuna kipengele hakunielewa vizuri,Nani kasema hilo duka sio lake? Kwani yeye hawezi kuwa mangi?
Nakubaliana nawe mkuu, tatizo kwa sisi tusiokuwa na uzoefu wa hivi vitu hatuchelewi kuuziwa vitu vyenye matatizo mengi au makubwa,Mleta mada akivizia magari ya kulenga around tarehe 4-18 January 2020 unaweza kuta anapata hata Kluger kwa hio hela
Mkuu, nakushukuru sana kwa ushauri wako.Itatosha.
Weka akiba ya 1M pembeni extra.
Just incase, likatokea la kutokea.
Ila usinunue gari mkononi kwa mtu dar, itakula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu @Iusungo usighadhibike sana.
Msameheane tu,
Najua lengo ni kurekebishana na kuwekana sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe mkuu, tatizo kwa sisi tusiokuwa na uzoefu wa hivi vitu hatuchelewi kuuziwa vitu vyenye matatizo mengi au makubwa,
Nd'o maana tunaona bora kukimbilia kununua ambacho hakijatumika hapa nchini,
Ingawa kwa wazoefu wangepata hapahapa bili usumbufu wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nilifikirie na hili mheshimiwa.Mkuu usikariri sana za Japan hata hizo unaweza pigwa!
Hiyo timing ya January ni nzuri coz watu wanakuaga wamefulia sana so unaweza okota gari nzuri sana kwa bei cheap!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajenge tu ndugu yangu!...... Hayo magari sio issue saaaana
Naona unawapa watu sindano kali za moto, hawarudii
Lusungo kuna huyu hapo juu tenaNinauza Rav4 mil 8 njoo inbox kaka
Kiukweli mimi sina vitu ninavyomiliki zaidi ya kiwanja kimoja huko mkoani, na kingine kidogo huko pembeni ya mji pamoja na hili duka dogo tu "la Mangi".
Sasa hapo sijui kama naweza kusema kuna aseti yoyote au laa.
Ila vitu vya thamani kama vile nyumba kwa kweli bado sijabahatika kuvipata, ingawa nia ya kuwa na nyumba na biashara kubwa ipo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije nunua used hapa Tz utalizwa...
Usije watumia mawakala wa kuagiza wataongeza milioni 2 nzima na story zao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]Yeah binafsi sijawahi agiza gari japan na sijawahi uziwa bovu... gari ni target yako tuu mkuu. Ngoja watu wafulie na wakose ada na pango January utawapata kibao. Unaweza okota gari kali kwa 7M tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app