Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

Jina lipi limekaa kitamaduni na zaidi kipesapesa/kitajiritajiri


  • Total voters
    8
Kuna mganga nilienda sharti la Kwanza akaniambia jiite dosho

Ndiyo maana nina ndinga mpaka sasa 😅😅😅
Na utafika mbali, usipo badilisha jina kabla ya mwaka kuisha utakuwa unachuana na Elon musk kwenye utajiri 😁
 
Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu

Embu nichagulieni Moja na Mimi,..

Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee flan hivi ..
Hilo hilo chibike.
 
Back
Top Bottom