Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

Jina lipi limekaa kitamaduni na zaidi kipesapesa/kitajiritajiri


  • Total voters
    8
Ng'wanamaleja, kanywagare, maganyera, nsambo, kitafimba, masanzagata, jugulu.
MUSABI

MARUNDE

MAYUNGA

MATUNGA PESAAA

KATEGILE

MAZIKU

MWANA SABUNI

CHECHE

KAYABO

CHOGO

MWENDA

SITOSAHAU DONGO

ATUKUZWE

WIMBO

MATIKU

MATIKO

MWEWE

CHUKI

CHOYO

VUMILIA

TABU

SHIDA
 
Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu

Embu nichagulieni Moja na Mimi,..

Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee flan hivi ..
Umekosea kidogo kuliandika jina la kwanza angalia kwa umakini linavyoandikwa NG'WANA NK'HOBHOKO
 
Shida mnataka yale ambayo hayajulikani sana. Ila kuna haya majina sema yameenea sana.

Lema, massawe, ndosi, kimaro. Shirima, swai, mushi, otoroitichi, moi, kibaki, kaale. Kaaya
 
Back
Top Bottom