Nichane Day

Status
Not open for further replies.
We are both crazy in love on each other... You know what and how we do it... Na kiuno chako chembamba kilichokatika vizuri hapo kati na kukutengeneza shape moja matata sana...

Lucky me to be honest...
 
Haha...yaani B. Mimi niwakulingnisha na upepo upepo sijui ni oxygen sijui carbon sijui caborn monoxide.... aseeh mimi nimejitoa tuwe majirani tu

Asante sana walau kaka Mond atapumullia Pua zake sasa make walimuwekea mashine ya kupumulia
 
Hoja dhaifu hiyo

Hamna cha maana ulichokiandika
Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposure usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiza kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe.
 
Mkuu punguza povu take it easy man. Wote ma dume marumbano ya nini?
Hance Mtanashati anapenda utani tu na hakua anamaanisha hivyo. Hapa chitchat tu bro hajamaanisha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naona povu linakutoka kijana

Ongea na moderators wabadili username yako imekaa ki kike kike

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…