Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Muulize home boy mwenzio Daby [emoji23] alikuja leo na katokaNdo huku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize home boy mwenzio Daby [emoji23] alikuja leo na katokaNdo huku?
ata kwenye kawaida sipo mkuu yaan wanaonijua wanajua [emoji23]Shunie wewe we sio mlembo wa kawaida umewazidi wengi... Nimekuchana ujuee!?
Kaleft?Muulize home boy mwenzio Daby [emoji23] alikuja leo na katoka
hahahahhaHaha...yaani B. Mimi niwakulingnisha na upepo upepo sijui ni oxygen sijui carbon sijui caborn monoxide.... aseeh mimi nimejitoa tuwe majirani tu
ahhahhahah kaomba kuleftishwaKaleft?
We are both crazy in love on each other... You know what and how we do it... Na kiuno chako chembamba kilichokatika vizuri hapo kati na kukutengeneza shape moja matata sana...Muah muah muaaaaah my lovely super Dear Smart911
You are the reason for my happiness
Being with you I feel like am the luckiest girl ever
You give me hundreds reasons to smile Smart911 you are so sweet and crazy you know umenidatishaaaaaaa umenidatishaaaaaaa walahi
I won't allow any woman to steal you from me.
#staywithmeforeverbabybuu#
Haha...yaani B. Mimi niwakulingnisha na upepo upepo sijui ni oxygen sijui carbon sijui caborn monoxide.... aseeh mimi nimejitoa tuwe majirani tu
Hahaha...Twin huyu Mrembo wangu tukikwaruzana kidogo ananuuuna.Birthmate nakuona !
HahahAsante sana walau kaka Mond atapumullia Pua zake sasa make walimuwekea mashine ya kupumulia
We arDth crazy in love on each other... You know what and how we do it... Na kiuno chako chembamba kilichokatika vizuri hapo kati na kukutengeneza shape moja matata sana...
Lucky me to be honest...
Swalama mkuu...salama tu mkuu
vipi kwema?
Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposure usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiza kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe.Hoja dhaifu hiyo
Hamna cha maana ulichokiandika
Hahahaa!Hahaha...Twin huyu Mrembo wangu tukikwaruzana kidogo ananuuuna.
Mkuu punguza povu take it easy man. Wote ma dume marumbano ya nini?Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposer usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiz a kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe
Basi nitapuliza na kungata... Ila ndiyo ukweli.. Una figure tamu sana my love... Huishi hamu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposure usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiza kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe.