Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Muah muah muaaaaah my lovely super Dear Smart911
You are the reason for my happiness
Being with you I feel like am the luckiest girl ever
You give me hundreds reasons to smile Smart911 you are so sweet and crazy you know umenidatishaaaaaaa umenidatishaaaaaaa walahi
I won't allow any woman to steal you from me.
#staywithmeforeverbabybuu#
We are both crazy in love on each other... You know what and how we do it... Na kiuno chako chembamba kilichokatika vizuri hapo kati na kukutengeneza shape moja matata sana...

Lucky me to be honest...
 
Haha...yaani B. Mimi niwakulingnisha na upepo upepo sijui ni oxygen sijui carbon sijui caborn monoxide.... aseeh mimi nimejitoa tuwe majirani tu

Asante sana walau kaka Mond atapumullia Pua zake sasa make walimuwekea mashine ya kupumulia
 
Hoja dhaifu hiyo

Hamna cha maana ulichokiandika
Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposure usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiza kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe.
 
Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposer usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiz a kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe
Mkuu punguza povu take it easy man. Wote ma dume marumbano ya nini?
Hance Mtanashati anapenda utani tu na hakua anamaanisha hivyo. Hapa chitchat tu bro hajamaanisha.
 
Dogo usifosi tufanane,ungekuwa bilingual ungenielewa,maneno yana maaana tafauti katika lugha tafauti,sasa kama huna exposure usilete ujuaji ndio maana nkakwambia ungeuliza kwanza maana ya jina kabla hujaanza roporopo.alafu hapa hatushindani ni chit chat naona unaanza kuleta ligi,wakati najiunga na jf sikushauriwa na mtu wala sikusindikizwa so usinipangie jina la kutumia.Kwanza we si ndo yule bwamdogo unayefululiza kuweka post za kukasifia kale katunda,kwann napoteza muda kubishana na wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naona povu linakutoka kijana

Ongea na moderators wabadili username yako imekaa ki kike kike

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom