Nakuunga mkono kweli kuna watu majina yamekaa kiume mf. Sakayo. Chikara mtabari. Banaange. BlessedHope.
Ila mkuu ulipokosea ni sehem moja pale alipokuambia kua jinsia yake ni Me ila wewe ukaendelea ku mind jina lake kua limekaa Kike
Ligi imeisha na bwana hance kawa mshindi,point zimelingana ila kanizidi idadi ya magoli.like I said its all good.peace
Be blessed!Mkuu kiukweli mm sipendi kua watu wakiwa wamekwazana. Hua inaniuma sana nikiona mtu kakwazana na mwenzake. Sipendi kumuudhi mtu na sipendi kuona watu wakikwazana. Nadhani katika swala la usuluhisho hujakosea mkuu nimeshazoea hivyo.
Kuna kaneno kwenye bibe hua nakatumia.
"Heri wapatanishi maana wataurithi ufalme wa mbinguni".
aisee mke wangu mpenzi analeta sana noma nikija huku.Chana tu ruksa
Halafu ngoja nikuchane mbona unapoteaga unajichimbiaga wapi ??
Chitchat hom kwako ujue si wa kukosa 24/7 wewe
Bwana mondray inabidi tukupeleke kwenye kamati za usuluhishi wa migogoro ya kimataifa kama burundi,congo na south sudan,naona position itakufaa
Mkuu kiukweli mm sipendi kua watu wakiwa wamekwazana. Hua inaniuma sana nikiona mtu kakwazana na mwenzake. Sipendi kumuudhi mtu na sipendi kuona watu wakikwazana. Nadhani katika swala la usuluhisho hujakosea mkuu nimeshazoea hivyo.
Kuna kaneno kwenye bibe hua nakatumia.
"Heri wapatanishi maana wataurithi ufalme wa mbinguni".
Cheers...
God is gooooooood all the time
All the time.................
aisee mke wangu mpenzi analeta sana noma nikija huku.
najificha ficha sana.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] bado nakuhitaji kwenye exclusive interview ujue
Ha ha ha ha....juu ya mti tena?Pamoja sana weitu nakumbuka
Nilikwambia kuanzia ijumaa tena nitakukumbusha mimi mwenyewe
Hio siku nitapanda juu ya mti mapemaaa kusach network
Shika sana ulichonacho
Mondray sasa mimi kama dadamtu nakukabidhi wewe my wii
Mpende mlinde na umjali
Timiza wajibu wako kama mama kama mke na hakika utafurahia maisha yako yote
Mahondaw avatar yako inaonyesha umekaa ki tomboy halafu don't care mmoja hivi. Poa sana lakini inaonyesha husumbuliwi na vitu vidogo vidogo kama kuchanana day. [emoji2]
[emoji15] [emoji15] u wish ungekua na mtarimboHahahaahhahahaahahahahaha safiiiiiii
Hizo swaga ndo nazipendaga mwenzio
I wish I could be a man ili niwale watoto wazuri kama wewe black beauty plus white maasai lol ila ndoivo tena namimi nachuchumaa