Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Nakuunga mkono kweli kuna watu majina yamekaa kiume mf. Sakayo. Chikara mtabari. Banaange. BlessedHope.
Ila mkuu ulipokosea ni sehem moja pale alipokuambia kua jinsia yake ni Me ila wewe ukaendelea ku mind jina lake kua limekaa Kike

Kwa ajili yako nitabadilisha jina drln.haya nipendekezee majina matam matam ya kike ee baba
 
Mkuu kiukweli mm sipendi kua watu wakiwa wamekwazana. Hua inaniuma sana nikiona mtu kakwazana na mwenzake. Sipendi kumuudhi mtu na sipendi kuona watu wakikwazana. Nadhani katika swala la usuluhisho hujakosea mkuu nimeshazoea hivyo.
Kuna kaneno kwenye bibe hua nakatumia.
"Heri wapatanishi maana wataurithi ufalme wa mbinguni".
Be blessed!
 
Chana tu ruksa
Halafu ngoja nikuchane mbona unapoteaga unajichimbiaga wapi ??
Chitchat hom kwako ujue si wa kukosa 24/7 wewe
aisee mke wangu mpenzi analeta sana noma nikija huku.
najificha ficha sana.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] bado nakuhitaji kwenye exclusive interview ujue
 
Bwana mondray inabidi tukupeleke kwenye kamati za usuluhishi wa migogoro ya kimataifa kama burundi,congo na south sudan,naona position itakufaa

Nashukuru kwa kuliona hilo kwa bae.ndo mana nazidi kuwa hoi juu yake.[emoji8]mondray baby..
 
Ubuyu upo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
IMG-20170325-WA0000.jpg

Mhmmhmhmhmh sijui hata nianzie wapi
 
Mkuu kiukweli mm sipendi kua watu wakiwa wamekwazana. Hua inaniuma sana nikiona mtu kakwazana na mwenzake. Sipendi kumuudhi mtu na sipendi kuona watu wakikwazana. Nadhani katika swala la usuluhisho hujakosea mkuu nimeshazoea hivyo.
Kuna kaneno kwenye bibe hua nakatumia.
"Heri wapatanishi maana wataurithi ufalme wa mbinguni".

Drln unajua kwa usuluhishi huu umeshajinyakulia tucredit twako hapa.
 
aisee mke wangu mpenzi analeta sana noma nikija huku.
najificha ficha sana.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] bado nakuhitaji kwenye exclusive interview ujue

Pamoja sana weitu nakumbuka
Nilikwambia kuanzia ijumaa tena nitakukumbusha mimi mwenyewe
Hio siku nitapanda juu ya mti mapemaaa kusach network
 
Pamoja sana weitu nakumbuka
Nilikwambia kuanzia ijumaa tena nitakukumbusha mimi mwenyewe
Hio siku nitapanda juu ya mti mapemaaa kusach network
Ha ha ha ha....juu ya mti tena?
Nitakutumia mada mapema...ili ujue tutazungumzia nini
 
Nashukuru kwa kuliona hilo kwa bae.ndo mana nazidi kuwa hoi juu yake.[emoji8]mondray baby..

Shika sana ulichonacho
Mondray sasa mimi kama dadamtu nakukabidhi wewe my wii
Mpende mlinde na umjali
Timiza wajibu wako kama mama kama mke na hakika utafurahia maisha yako yote
 
Shika sana ulichonacho
Mondray sasa mimi kama dadamtu nakukabidhi wewe my wii
Mpende mlinde na umjali
Timiza wajibu wako kama mama kama mke na hakika utafurahia maisha yako yote

I will neva let u down my wii.kwa usuluhishi huu niliouona kwa kaka yako hakika tegemea matunda mengi zaid.kamzidi mtu fudenge kwa credt za usulushi.yani kazidi kunichanganya aliporejea kwenye baibo.uwiiiiiii mondray u have mi kwakwel
 
Mahondaw avatar yako inaonyesha umekaa ki tomboy halafu don't care mmoja hivi. Poa sana lakini inaonyesha husumbuliwi na vitu vidogo vidogo kama kuchanana day. [emoji2]

Hahahaahhahahaahahahahaha safiiiiiii
Hizo swaga ndo nazipendaga mwenzio
I wish I could be a man ili niwale watoto wazuri kama wewe black beauty plus white maasai lol ila ndoivo tena namimi nachuchumaa
 
Hahahaahhahahaahahahahaha safiiiiiii
Hizo swaga ndo nazipendaga mwenzio
I wish I could be a man ili niwale watoto wazuri kama wewe black beauty plus white maasai lol ila ndoivo tena namimi nachuchumaa
[emoji15] [emoji15] u wish ungekua na mtarimbo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom