Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Soka la ukanda huu litaendelea kuburuza mkia tu .Ahhha hahaha, ni kweli hata mm nmemsikia muda sana
Hata mimi nilijua hivyoMm najuaga cecafa ya kwake
kuna haja ya kumng'oa kinguvuHuyu jamaa hana dira wala ubunifu wowote hata kulazimisha michuano ya cecafa kuchezwa kipindi hiki ni kutojitambua nin wanafanya
utakuwa umelogwa vibaya sana !ni mtu bora na makini katika soka letu la Africa, bado tunamuhitaji..
umepotea jukwaa ?Atakuwa anamuiga Mbowe huyo
Imebidi niulize maana ni miaka mingi namsikia akitambulishwa kama Katibu mkuu wa CECAFA , kwa kumbukumbu zangu katika uongozi wa Musonye ndio kipindi ambacho michuano hii maarufu sana imepoteza heshima yake kiasi cha kufunikwa hata na Ndondo Cup.
Hivi Katibu Mkuu wa CECAFA anapatikanaje ? umefika wakati wa kupata katibu mpya atayeleta maendeleo ya soka kwenye ukanda huu , ikibidi hata kwa kufanya mapinduzi , Hatuwezi kuwa na viongozi wasio na maono na waliokosa ubunifu .
Tarimba aliondolewa baada ya mimi kuuliza kama Bahati nasibu ya Taifa ni yake au ni ya serikali , baada ya siku chache nikasikia kang'olewa na kuingia SportpesaYaani huyu ni kama alivyokua Tarimba Bodi bahati Nasibu amekaa zaidi ya miaka 20
Aiseee !!!Yeye ndio mmiliki wa CeCaFa
Kwa hyo kumbe WWE ndio ulinichongea haya bwanaTarimba aliondolewa baada ya mimi kuuliza kama Bahati nasibu ya Taifa ni yake au ni ya serikali , baada ya siku chache nikasikia kang'olewa na kuingia Sportpesa