Nicholas Musonye ni Katibu wa Milele wa CECAFA ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Imebidi niulize maana ni miaka mingi namsikia akitambulishwa kama Katibu mkuu wa CECAFA , kwa kumbukumbu zangu katika uongozi wa Musonye ndio kipindi ambacho michuano hii maarufu sana imepoteza heshima yake kiasi cha kufunikwa hata na Ndondo Cup.

Hivi Katibu Mkuu wa CECAFA anapatikanaje ? umefika wakati wa kupata katibu mpya atayeleta maendeleo ya soka kwenye ukanda huu , ikibidi hata kwa kufanya mapinduzi , Hatuwezi kuwa na viongozi wasio na maono na waliokosa ubunifu .
 
Rushwa iliyopo kwenye soka hasa hapa Africa mashariki ni balaa, acha tu usishangae
 
Back
Top Bottom