Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Imebidi niulize maana ni miaka mingi namsikia akitambulishwa kama Katibu mkuu wa CECAFA , kwa kumbukumbu zangu katika uongozi wa Musonye ndio kipindi ambacho michuano hii maarufu sana imepoteza heshima yake kiasi cha kufunikwa hata na Ndondo Cup.
Hivi Katibu Mkuu wa CECAFA anapatikanaje ? umefika wakati wa kupata katibu mpya atayeleta maendeleo ya soka kwenye ukanda huu , ikibidi hata kwa kufanya mapinduzi , Hatuwezi kuwa na viongozi wasio na maono na waliokosa ubunifu .