mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Usithubutu kununua Brevis,hizo gari hua ni tatizo kubwa sana kama la Nissan Xtrail...yani Brevis inaweza kua inachemsha tu na umeitoa showroom jana au juzi,mala imepinda Cylinder head,yani ile gari sijui walikosea wapi
Aisee hii kitu sijawahi kuiona kwenye Brevis niliyoendesha kwa miaka mitatu hadi minne hivi mpaka tunaiuza. Na ilitoka showroom ya wapakistan ikiwa na zaidi ya km 110K. Ilikuwa inasafiri kiasi na safari za huku mjini ni daily. Tumeiuza ikiwa na km zaidi ya 180K. Engine haikuwahi kuguswa especially hilo la kuchemsha. Binafsi napenda mwonekano wa Mark X ila sijawahi kuiendesha siwezi kuizungumzia.
Ni brevis ngapi umeziona au kusikia zina hilo tatizo? Kwa sababu kufikia kuifananisha na Xtrail umenistua kidogo