Nichukue gari ipi kati ya Mark X na Brevis

Nichukue gari ipi kati ya Mark X na Brevis

Usithubutu kununua Brevis,hizo gari hua ni tatizo kubwa sana kama la Nissan Xtrail...yani Brevis inaweza kua inachemsha tu na umeitoa showroom jana au juzi,mala imepinda Cylinder head,yani ile gari sijui walikosea wapi

Aisee hii kitu sijawahi kuiona kwenye Brevis niliyoendesha kwa miaka mitatu hadi minne hivi mpaka tunaiuza. Na ilitoka showroom ya wapakistan ikiwa na zaidi ya km 110K. Ilikuwa inasafiri kiasi na safari za huku mjini ni daily. Tumeiuza ikiwa na km zaidi ya 180K. Engine haikuwahi kuguswa especially hilo la kuchemsha. Binafsi napenda mwonekano wa Mark X ila sijawahi kuiendesha siwezi kuizungumzia.
Ni brevis ngapi umeziona au kusikia zina hilo tatizo? Kwa sababu kufikia kuifananisha na Xtrail umenistua kidogo
 
Hivi bado mpaka sasa hamna aliyesema "hayo majini?".........maana hao jamaa hawakosekani

Unataka kuniambia bro nikicheza na rpm siwezi pata best fuel efficiency....isi vuke 1800 kwa speed ya 80 maximum kilimanjaro hakuna foleni kwa mizunguko yangu sio kati kati ya mji sana kwenda
 
Unataka kuniambia bro nikicheza na rpm siwezi pata best fuel efficiency....isi vuke 1800 kwa speed ya 80 maximum kilimanjaro hakuna foleni kwa mizunguko yangu sio kati kati ya mji sana kwenda
Kama upo mahali ambapo hamna foleni tofauti ya mafuta hutoiona sana ..mchawi foleni
 
Unataka kuniambia bro nikicheza na rpm siwezi pata best fuel efficiency....isi vuke 1800 kwa speed ya 80 maximum kilimanjaro hakuna foleni kwa mizunguko yangu sio kati kati ya mji sana kwenda
Mark x inatumia mafuta vzuri sana the same na crown, stability na comfortability ipo poa sana. Tena kama unaishi mahali ambapo hakuna foleni za mara kwa mara utafurai sana.
 
Wajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku

Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea kazini na mizunguko ya hapa na pale nimeshatumia suzuki escodo old model na starlet zote zilikuwa MT nataka ni switch kwenye luxury na AT.

Nitashukuru nikipata muongozo na ushauri kwa walio tumia gari hizi

Mafuta isiwe swala maaana wengi watasema hayo ni majini kwenye mafuta

Utamu wa gari ile mafuta sio mchemsho na machalari..[emoji1488]
Mark X utalia kwenye board tu ikitokea umeigusa ni famba aisee

Brevis napendaga ule umeme wake usiku kama mchana
 
Aisee hii kitu sijawahi kuiona kwenye Brevis niliyoendesha kwa miaka mitatu hadi minne hivi mpaka tunaiuza. Na ilitoka showroom ya wapakistan ikiwa na zaidi ya km 110K. Ilikuwa inasafiri kiasi na safari za huku mjini ni daily. Tumeiuza ikiwa na km zaidi ya 180K. Engine haikuwahi kuguswa especially hilo la kuchemsha. Binafsi napenda mwonekano wa Mark X ila sijawahi kuiendesha siwezi kuizungumzia.
Ni brevis ngapi umeziona au kusikia zina hilo tatizo? Kwa sababu kufikia kuifananisha na Xtrail umenistua kidogo
Ndugu,mimi ni dereva na mmiliki wa gari hizi ndogo kwa kitambo sana,wakati mwingine unaweza niita dalali japo si dalali,kesi za Brevis ni nyingi kuliko,nina uzoefu mkubwa na magari....wewe hesabu tu kwamba ulibahatisha
 
Crown,Mark X,Brevis mabati ya body ni yake yake tu..cha msingi awe mtunzaji,achunge bajaji, daladala na bodaboda...hawa wanakukwaruzia gari saa yoyote
Na sometimes kwa kusudi kabisa Tena sehemu ambayo kunyoosha ni mbinde.
 
Kinywaji ni kile kile tu wamebadilisha package..

Vichupa vidogo vidogo kama simu wanaweka tu mfukoni...
Unakuta unatembea na mtu huku anajidunga...mnafika mwisho wa safari mwenzako kashalewa na hajaingia bar..[emoji119][emoji119]
Hahahaaaa
 
Ndugu,mimi ni dereva na mmiliki wa gari hizi ndogo kwa kitambo sana,wakati mwingine unaweza niita dalali japo si dalali,kesi za Brevis ni nyingi kuliko,nina uzoefu mkubwa na magari....wewe hesabu tu kwamba ulibahatisha

Kama mtaalamu sitegemei uniambie nilibahatisha gari nzuri. Kama ni gari zenye shida lazima ingenisumbua hata kidogo tu ndani ya miaka minne (kwa gari amabayo kila siku lazima itembee). Labda kama shida unayozungumzia inayo siyo engine. Siamini ya kwangu ilitengenezwa vizuri zaidi, labda ukisema ilitunzwa vizuri na ilifanyiwa service na mafundi wazuri.
Anyway, nadhani mtoa mada ameshaelekea kwenye Mark X na nia yangu ilikuwa kumsaidia afanye uamuzi akiwa na taarifa sahihi
 
Back
Top Bottom