Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo
1.ulaji mdogo wa mafuta
2.upatikanaji na unafuu wa spare
3.uimara wa gari rafu road
4.uimara wa vipuri.
Hizo gari tofauti ni body tuu
 
Wew kamati andinga yoyote hapo vimba nayo ukianza kutafuta ushauri utajikuta unamiliki mgongo wa chura. Ukitaka usafiri usiangalie sana spare kwani unanunua gari kwaajili ya mtu kujifunzia au kutumia kama usafiri? Watu wananunua magari na hawabadili vifaa hata miaka mitatu na wanadunda huskii kelele. Haya mambo ya rafu rodi yasikuchanganye kwani ww unaenda kushindana rally au ni harakati za kutoka na kurudi kwako? Chagua kipenda roho vimba mjini
 
chini ya 70 pia ina balance nzuri kwenye kona za ghafla,mafuta inategemea na condition ya gari au engine,mimi nimechukua kwa mtu,imetumika sana tu,km 60 natumia kama lita 5 kwa wastani.
Piga service hiyo gari, utapata better fuel consumption kuliko ya sasa...
 
Runx na Allex yote sawa tu, nilikua na Runx 1.5 1NZ FE kwa miaka 4 haijawahi nifanya mbaya.

Ulaji wa mafuta ni mzuri, spare zinapatikana, ina balance, cheap maintenance..
 
Runx na Allex yote sawa tu, nilikua na Runx 1.5 1NZ FE kwa miaka 4 haijawahi nifanya mbaya.

Ulaji wa mafuta ni mzuri, spare zinapatikana, ina balance, cheap maintenance..
Kwa average consumption 1 litre ukiapproximately inaenda km ngap?
 
Back
Top Bottom