Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwa mjini 12-14 ila Highway inaenda hadi 18 km/lKwa average consumption 1 litre ukiapproximately inaenda km ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mjini 12-14 ila Highway inaenda hadi 18 km/lKwa average consumption 1 litre ukiapproximately inaenda km ngap?
aiseee huo ni utumiaji mzuri sana wa mafuta ,nadhani pia haitapishana sana na premio yenye the same engine regarding of factors like car condition & maintainance,service history and fuel qualityKwa mjini 12-14 ila Highway inaenda hadi 18 km/l
sawa mkuu,lakini nielekeze niservice nini,mimi nimemwaga oli,nimeweka air cleaner filter mpya,engine oil filter mpya,coolant mpya,brake fluid mpya,nini kingine mkuu nishauri..Piga service hiyo gari, utapata better fuel consumption kuliko ya sasa...
eti mkuu ni speed/rpm ipi kwa gari ndogo ulaji wa mafuta unakuwa mzuri sana.Kwa mjini 12-14 ila Highway inaenda hadi 18 km/l
Zinatofautiana speed na RPM.eti mkuu ni speed/rpm ipi kwa gari ndogo ulaji wa mafuta unakuwa mzuri sana.
mimi uendeshaji wangu,sivukagi 70km/h,labda ikizidi sana 80km/hZinatofautiana speed na RPM.
MFANO:
Kwenye BMW nilikua nikiwa below 25000 (maximum 7000) nakua vizuri ulaji wa wese. Speed ilikua 90 hadi 110km/h
Kwenye Runx nilikua nikipiga below 3000 inakua poa (Maximum 8000). Speed ilikua 80-90km/h
Sahivi Mazda nikiwa below 2000 maana kuvuka 2000 (maximum 6000) lazima niwe Sport mode au nikanyage sana. Speed ni 70-80km/h
mimi uendeshaji wangu,sivukagi 70km/h,labda ikizidi sana 80km/h,kwa sababu sitokagi nje ya dar..
Mitaa iyo iyo ndio patamu. Kuna kitu kinaitwa hypermilling nayo ni skills nzuri ya kusave wese.mimi uendeshaji wangu,sivukagi 70km/h,labda ikizidi sana 80km/h
ukiongeza speed rpm pia inaongezeka so lazima ubalance speed au rpmeti mkuu ni speed/rpm ipi kwa gari ndogo ulaji wa mafuta unakuwa mzuri sana.
asante mkuu,ila mpaka mtu amenunua gari,manaake ametafuta hela,pia mimbio kwa gari sio utamu wa safari mkuu..ukiongeza speed rpm pia inaongezeka so lazima ubalance speed au rpm
good consumption inakua kwenye 2rpm ambapo apo unaongelea speed ya 70 mpk 80
ukizid apo rpm inasogea mpk 3 hapa ulaji wake pia sio mbaya ambapo apa inafika maximum 120
ukizid apa rpm inasogea mpk 4 apo inaharibu sana fuel economy
ila tutafute hela maana mtu unawaza rpm kuliko utamu wa safari njaa mbaya
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
kama unatembea tu mjini ni sawa speed ndogo inatoshaasante mkuu,ila mpaka mtu amenunua gari,manaake ametafuta hela,pia mimbio kwa gari sio utamu wa safari mkuu..
Vipi starlet bossRunx na Allex yote sawa tu, nilikua na Runx 1.5 1NZ FE kwa miaka 4 haijawahi nifanya mbaya.
Ulaji wa mafuta ni mzuri, spare zinapatikana, ina balance, cheap maintenance..
Achana na starlet boss hizo ni old versionVipi starlet boss
Runx inaenda km ngapi Kwa Lita Kwa hizi foleni za Dsm?Piga service hiyo gari, utapata better fuel consumption kuliko ya sasa...
ThxAchana na starlet boss hizo ni old version
Chukua hata ist
Ulichukua chuma gani?
bei gani chief?Ist inauzwa ikon katika hali nzuri View attachment 2791160View attachment 2791161
Mkuu hiyo ni 10.8 m boss karibubei gani chief?