Nichukue laptop ipi kati ya hizi mbili?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16
GU605MI-G16.U94070
Intel Core Ultra 9 185H
16GB RAM
1TB NVMe SSD
NVIDIA GeForce RTX 4070
16" 240Hz OLED
6.1m

2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8
1TB SSD
32GB RAM
CORE I9 113th gen
INVIDIA GEFORCE RTX 4060 (8GB) DEDICATED
WINDOWS 11 HOME
16.0” WQXGA
BATTER 4 CELL
5.7m
 
Matumizi ni yapi? Ukaaji chaji muhimu kwako? Generation mpya za Cpu zinatoka muda si mrefu mwezi wa 6 mpaka wa 9, Zen 5 za Amd, Lunar lake za Intel na Snapdragon X za Qualcomm zote hizo zitakua ni efficiency sana kwenye ulaji umeme.

Otherwise kwa generation za sasa hio i9 ama Ryzen 9 za zen 3 ama i9 za 13th gen hazitakua na utofauti sana,

Binafsi ningeagizishia online hapo unaweza save 2-3M kwa kuagizishia mwenyewe.

Kujibu swali lako ya juu ni nzuri zaidi.
 
Matumizi ni software za design za autodesk, revit, ms-project, prota softwares na zinazofanana na hizo.

Chaji sio muhimu sana maana pc ni ya kutumia home.

Online nicheki wapi? Maana kwa amazon zinarange kwenye 5m
 
Hio hela unanunua MacBook nzuri for such heavy task kachukue hata M1 still performance itakua nzuri sana.
Windows ikianza beba update and as you add applications inakua slow.
Kwa kununua angalia eBay pia hukosi refurbished/used nzuri tu or agiza dubai watu kibao wapo huko and wana office mjini hapa
 
Hizi PC zimetoka hivi karibuni, so refub hazipo bado sokoni
 
Mh Hizo mashine ni nzito haswa, sijajua kipato chako ila kwa matumizi uliyoorodhesha hayaitaji mashine nzito hivyo.
Labda kama utatumia autodesk maya na ufanye rendering ila kama ni autoCAD hizo mashine ni overkill
 
Reactions: Paa
Matumizi ni software za design za autodesk, revit, ms-project, prota softwares na zinazofanana na hizo.

Chaji sio muhimu sana maana pc ni ya kutumia home.

Online nicheki wapi? Maana kwa amazon zinarange kwenye 5m
Mkuu kinachongeza bei ni hizo Cpu za Meteorlake i9 na mambo ya AI ila hio Cpu haina maajabu compare na i9 gen ya 13 ama Ryzen 9 ya Zen 4, so ushauri wangu nenda Amazon halafu search laptop zenye hizo GPU utaona Rtx 4060 zinaanzia around $800 hivi.

Pia Cpu sio lazima iwe i9 ama ryzen 9, kuna case kibao sababu ya thermal za Laptop Ryzen 7 ama i7 zikawa zina perfomance kubwa zaidi. Ukipata Ryzen 7 7840H itakua vyema zaidi kwa kazi zako. Rtx 4070 na hio Cpu around 1.2-1.4K usd unapata.
 
@Mkwawa,kwenye kuchukua mzigo ikoje ukifika hapa mjini gharama ni kubwa nasikia kuchukua as posta/agents wanatoza kodi kubwa almost the same na uliochukulia mzigo
 
@Mkwawa,kwenye kuchukua mzigo ikoje ukifika hapa mjini gharama ni kubwa nasikia kuchukua as posta/agents wanatoza kodi kubwa almost the same na uliochukulia mzigo
Mkuu hilo tatizo lipo ila kwa ufahamu wangu computer hazina charges ama zinachajiwa tu asilimia 18 za VAT.

Amazon siku hizi wanaanza kuandika charges kule kule kwenye website yao inakua haina longo longo sana, wenye shida ni hawa ma Agent wa Airport ndio wana tabia za kubambikia watu gharama so mzigo usipopitia kwao shida nazo zinapungua.
 
Thanks maana watu wanalia sn na hii kitu
 
Mkuu kule pm nimekutext msaada tafadhali.
 
Matumizi ni software za design za autodesk, revit, ms-project, prota softwares na zinazofanana na hizo.

Chaji sio muhimu sana maana pc ni ya kutumia home.

Online nicheki wapi? Maana kwa amazon zinarange kwenye 5m

Kama charge sio muhimu, kwann usiende na custom PC? bei ni nafuu zaidi, na incremental upgrades zinakuwa rahisi.

I built my current PC in 2018, na since then, nimebadilisha GPU mara tatu (RX 580 -> GTX 1070 -> RTX 3070), CPU mara mbili (Ryzen 7 2700X -> Ryzen 7 5700x), mobo mara mbili (ya kwanza iliungua), case mara tatu (bado nataka a better case, sema hizi huwa kipengele kupata at a good price), upgraded from 16 to 32GB RAM na switched from a double monitor setup to triple monitor setup.

In that same time, laptop yangu ya MSI ilikufa mobo na nikakosa fundi huku bongo na hadi Nairobi, XPS iliyokuwa replacement nayo ikafa touchsreen (and was eventually stolen kwenye gari) na current laptop inaanza kupoteza charge.

Nikiangalia cost to benefit ratio, desktop imenibeba zaidi and has been more cost effective (siku nataka 4xxx series GPU nitauza current one as I have before), inakuwa rahisi kubadilisha au kurekebisha partd (only time niliteseka ni when the motherboard ilikufa and I had to wait 2 weeks nipate a new one from Nairobi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…