Nichukue laptop ipi kati ya hizi mbili?

Mh Hizo mashine ni nzito haswa, sijajua kipato chako ila kwa matumizi uliyoorodhesha hayaitaji mashine nzito hivyo.
Labda kama utatumia autodesk maya na ufanye rendering ila kama ni autoCAD hizo mashine ni overkill
rendering sifanyi. sipendi tu mashine slow ninapofungua vitu vingi kwa wakati mmoja. so inabidi nipate PC nzuri
 
Chief labda unaweza kunipatia pendekezo kwa PC nzuri ambayo umeshawahi kukutana nayo ina perform vizuri kwenye multitasking na ambayo iko portable, generations za hivi karibuni.

pia i7 ipi itakua na power efficiency nzuri? maana nimechecki comparisons naona i7 13th generation inapitwa mbali na core ultra 9..
 
asante kwa ushauri jamaa. mimi nilikua nahitaji laptop portable lakini yenye uwezo mkubwa kwasababu ya mizunguko ya hapa na pale pia.

custom setum nadhani nitakuja kuwa nayo, lakini baadaye.
 
Thermal mkuu, let's say wewe unapenda laptop portable na laptop portable haina cooling system kupoza watts 100-200 uwezo wake inapoza hadi watts 65, so cpu itakayo perform vizuri kwa hizo watts ndio nzuri.

Mimi binafsi ningechukua Ryzen 7 7840H ama i7 13700H ama varieties zake, kwa Laptop Ryzen 9 na core i9 ni unnecessary cost most of time Laptop hazina uwezo wa kusustain hio performance.

Pia advantage ya Gen ya 14 Intel hio Ulio list ni ukaaji chaji kwa load ndogo, na ni more efficienct compare na gen ya 13 ila still gen ya 14 imepitwa na Ryzen hizi za zen 4, so no need kukomaa na Intel hio gen ya 14, na sababu hizo laptop zina Nvidia dedicated Gpu itaziba pengo la Amd kutoka na decoders nzuri za media.

Kuhusu Laptop ya kuchagua, uzuri wa Laptop ni model hio hio inakua na Cpu kama zote, mfano juu umepost Rog Zephyrus, model hio hio ina varieties za Cpu zote.

Wadau wengi ambao ni waatalam wa hizi proffesion wana recomend Asus Rog Zephyrus 16/14 ama Lenovo Legion 7i zote hizi zitakusimamia around 1.5K usd Amazon.

Jambo jengine muhimu la kufahamu Lpddr5 ram ni soldered kwenye motherboard hazitoki, Hapo Amazon nimeona 2TB ssd na 16GB ram na 32GB ram na 1TB ssd ni bei moja, prioritize ram chukua kubwa kadri utakavyoweza then ssd utakuja ku upgrade mbele ya safari.
 
Rtx 4060 ,[emoji91] balaha hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Paa
Kwa hizo price chukua Macbook Pro M1 14inch

M1 Max, 10-core CPU, 32-core GPU, 32GB unified memory, 1TB storage.
MacBook Pro (16-inch, 2021) - Technical Specifications - Apple Support.
 
Reactions: Paa
Mkuu hizi Geolaptop nime ziona kwa Chris Lukosi bei kitonga zina support Ms office je kwa matumizi ya kawaida zinaweza nifaa?
 
Mkuu hizi Geolaptop nime ziona kwa Chris Lukosi bei kitonga zina support Ms office je kwa matumizi ya kawaida zinaweza nifaa?
Specification yake na bei mkuU, ama weka link nikuangalizie
 
Asante sana Chief hapo nimekuelewa vizuri.🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…