Hiyo biashara umeshaanza au ndio unafikiria upate mtaji uanze??Habari zenu wakuu..
Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe..
Natanguliza shukrani zangu
Jipige pige...lakini sio kukopa...hatta bank hawawez kukupa kama huna biashara...mark my wordsNitapata wapi mtaji?
Usikopee nyumbaNdo nataka kupata mtaji niianze mkuu