Nichukue mkopo bank gani?

Nichukue mkopo bank gani?

Sishauri kabisa,

Bank nyingi mikopo yake hailipiki,


Anza mdogo mdogo, kopa kwenye circles zako zungusha then rudisha.
 
Ishu nyingi kwenye mikopo ni interest ya benki....mantiki ya biashara ni kuearning profits, sasa what if you earning part ya interest as profits let other expenses in life remain constant as long as you must return back all your capital to the loan provider.

Ili ufanikiwe basi uwe na biashara yenye super profit na yenye fast moving hence higher returns...unless otherwise umekwisha wewe na collateral yako.
 
Habari zenu wakuu.

Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je?

Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe.

Natanguliza shukrani zangu


Kama unaweza, na hauna order fulani kubwa ambayo yaitaji fedha, uchukue upate faida, wacha biashara ikuwa organically, usikope.
 
Back
Top Bottom