Nichukue mkopo bank gani?

Nichukue mkopo bank gani?

Asset=Capital + Liability

Namaanisha kama huna mtaji basi asset yako ndo mtaji…yaani hyo nyumba yaweza ikawa mtaji wako.

Ila kumbuka ukifirisika inamaana utapoteza mtaji kwamaana apo nyumba itapotea na ukifanikiwa mtaji utaingezeka na faida utapata.
 
Naelewa hio hali bosi,
Kama hamna njia kabisa, basi nenda CRDB...
Pambana Boss na pole, unaweza ukabadiri hii picha iliyojengeka kua

1. huwezi kuchomoa kwa kukopa ili uannze mwanzo...
2 Lakini pia unaweza ukaidhihirisha...

Advantage uliyonayo ni kwamba unaingia ukijua kuna #1.
 
naunga mkono hoja hii.
 
Back
Top Bottom