Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

nina waza kama wewe.. nick namfananisha na rafiki yangu mmoja sekondari yeye alikuwa anapenda sana kutuambia vitu vinavyochanganya ili tumwone anafuatilia vitu..
mjanja wa town.. anasoma sana nk.
.
.
wasomaji hawapo kama yeye.. anagusa gusa vitabu halafu anakuja kutudanganya na vi quotes!!
.
.
 
Usiumize kichwa kwa maneno ya wasanii,mda wote wapo stejini au location.
 

Ndugu, husipende kujikita ktk jambo ambalo huwezi kuliongelea kwa ufasaha.
 
Ila tz kuna watu wa ajabu sana...hivi inakuaje mtu anamuunga mkono nick hadharani.?
kuna wakati wa kusema na pia kuna wakati wa kukaa kimya, je, kulikua kuna ulazima gani Nick kuandika maneno yale public?.
kiuhalisia Nick ametumia mihemko ya darasa la 3 B
 
Siku hizi mtu kuwa na masters siyo issue maana vijana wakimaliza degree ya kwanza ajira hamna anaanza kusoma masters tukirudi kwenye mada Hutu Nikki huwa nasoma post zake na interview zake upeo wake uko chini sana japokuwa kugundua hilo inategemea na wewe una upeo gani!...kingine habadiliki yeye kila kitu shule tu anafikiria kama mwanafunzi muda wrote!...tulivyokuwa vyuoni tukikuwa tunafikiria vitu Fulani ambavyo baada ya kufika uraiani tunaona ni tofauti sana
 
Me too simpendagi kusema ukwel ana kisabengo kujiona anajua kumbe kuna watu smart zaid yake apite hv kabsaaa[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]
 
o

kauli ya Nick wa pili kuhusu biblia
Kauli ya Makonda kuhusu wachaga

hazina shida yoyote isipokuwa kizazi hiki cha kudekadeka, kulalamika, kugumia

sasa kama haujawahi kumkumbali kilichokufanya usome jumbe zake ba kufuatilia maisha yake ni nini?
 
Nickk bado hajitambui pamoja na hako ka master chake ukiona binadamu yoyote analingana na maneno ya mungu usiloteze hata sekunde mmsimiliza.
 
Dan lokomotive...kweli umeona mbali..huyu nikk ni mjinga sana umaarufu hauji kwa kutafuta kiki kwa neno la mungu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…