Umenikumbushaa mbalii aisee..Kumjadili ngwini huo ni ufala
Duhhh!! Ndugu yangu karudi usome tena theologia, Luka ndo alikuwa msomi tena alikuwa daktari .Mwinjilisti Marko ndo mwinjilisti Msomi kuliko wainjilisti wote. Na injili ya Marko ndo injili yenye maariifa kuliko zote. Kumbuka hiyo ndo injili iliyoandikwa mwanzo kabisa na waandishi wengine waliandika kwa kuangalia hiyo. Injili ya Marko ndo injili fupi kuliko zote lkn ndo yenye mambo makubwa.
Watu huwa wanasema mashosti wa Marangu wana shape matata..Kweli mkuu?Mkwe wetu Nikki wa Pili karibu MARANGU. Land of Riches
Mmeanza. Kwanini usiseme ana tabia 123 mpaka unasabaishe kabila? Mbona watoto wa Arusha wengi ni wajinga na hujiona wajuvi. Kwann usiseme ana tabia za huko??Anatabia za kihaya
Arusha ya wameru na masai. Ila usemacho kweli. Kuna mwamba kwao Moshi ila hataki kabisa kufungamana napo hujinasibu Arusha. Wakati hapajui kabisa. Alitoka Moshi to Dar. Ila kuna mangi fulani husema wameru maboya na ni wao wachaga ndiyo wameifanya Arusha kuwa vile ilivyo.Huyo jamaa sio mtu wa Arusha, ni mtu rombo mashati huko moshi, Arusha kaamia tu, si unajua mchagga akitoka moshi, hasemi ni mtu wa moshi, anasema ni waarusha ili apate heshima.
Ata huko vyuoni wachagga wengi wanasemaga wametoka Arusha, kuna wengine hata Arusha hawajawahi kanyaga,walitokea dar na moshi ila utasikia nimetoka Arusha.
Kama nakiona vile kitabu kikiwa kinateremka 😀Mbona nasikia kuna dini flani wanasema waliteremshiwa vitabu vya dini kutoka mbinguni! ?
Ni ukweli ulio mchungu, Arusha inajengwa na wachaga, wajanja wengi ni wachaga. Waarusha ni wavivu, wa meru ni washamba, wamasai wapo busy kudumisha mila zaoArusha ya wameru na masai. Ila usemacho kweli. Kuna mwamba kwao Moshi ila hataki kabisa kufungamana napo hujinasibu Arusha. Wakati hapajui kabisa. Alitoka Moshi to Dar. Ila kuna mangi fulani husema wameru maboya na ni wao wachaga ndiyo wameifanya Arusha kuwa vile ilivyo.
Hata mimi hili huwa nalikubali. Ila wakikusikia wameru wanakua wakali kama mbogo hahahahaNi ukweli ulio mchungu, Arusha inajengwa na wachaga, wajanja wengi ni wachaga. Waarusha ni wavivu, wa meru ni washamba, wamasai wapo busy kudumisha mila zao
😀😀 Kiukweli siwafahamu sana wameru ila waarusha wanawadharau sana wameru nimesikia kutoka kwao wakiwaponda.Hata mimi hili huwa nalikubali. Ila wakikusikia wameru wanakua wakali kama mbogo hahahaha
..hata jiwe pia mshambaWote mlio comment kwenye huu uzi washamba, Mleta Mada Mshamba na huyo Nikki nae Mshamba hata Mimi pia Mshamba.
Kijana naona kamtag anatumi @miss_joan_Simu akimtag atakuwa kafanya foul .
Wahuni na mamende wataingia kazini
Wapi bwanaa mbona kina Fa kitambo tu wakula kitabu na hawakihusishi na muziki wao...Afu unavyojinad msomi afu una tungo za kitoto nashindwa kuelewa unaunad vp usomi wako kwwnye muziki wako for sure nikki yule wa UJAMAA na MBONA HAURUDI siyo huyu wa KIBURI FLOW nadhani NIKKI angebaki MBISHI tu huyu atafute jina lingine.In the country of the blind one eyed man is a king
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .
Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .
Huko mbele atakuja simulia tu