Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Kumjadili ngwini huo ni ufala
Umenikumbushaa mbalii aisee..

Kuna Lecturer mmoja Alikuwa anawatania sana NGwini,alikuwa analipenda sana neno ngwini.

Tumefika siku ya kwanza mlangoni kulamba Algebra,Integral & Diff Tunakutana na neno NGwini.
 
Na akumbuke hizo sio story na hazikutungwa

Pumbavu mmoja huyu
 
Sidhani kama Nikki Kakosea. Tuseme ukweli, Biblia haijawa Fair kabisa upande wa wanawake. Maria Magdalena aliitwa prostitute tangu nazaliwa ni juzi tu Papa aliamuru itolewe kwenye biblia kwamba ilikuwa sio kweli na ikatolewa, swali ni je, vingapi vimeandikwa kwa biblia kuhusu wanawake vilikuwa sio kweli? Wanawake wengine wameandikwa kwa mistari 2. Hatusikii hadithi za wanawake katika Biblia wakati walikuepo kwanini? Biblia ni kitabu tu na kimeandikwa na binadamu kama sisi kwa hiyo kila mtu anaweza tafsiri apendavyo. Paulo alivokuwa jela barua zake zilipelekwa kwa wahusika na mwanamke ila hatujui kabisa hadithi ya huyo mwanamke. Kuna shida sana apa. Biblia imeandikwa kimfumo dume sana.
 
Mwinjilisti Marko ndo mwinjilisti Msomi kuliko wainjilisti wote. Na injili ya Marko ndo injili yenye maariifa kuliko zote. Kumbuka hiyo ndo injili iliyoandikwa mwanzo kabisa na waandishi wengine waliandika kwa kuangalia hiyo. Injili ya Marko ndo injili fupi kuliko zote lkn ndo yenye mambo makubwa.
Duhhh!! Ndugu yangu karudi usome tena theologia, Luka ndo alikuwa msomi tena alikuwa daktari .
 
Huyo jamaa sio mtu wa Arusha, ni mtu rombo mashati huko moshi, Arusha kaamia tu, si unajua mchagga akitoka moshi, hasemi ni mtu wa moshi, anasema ni waarusha ili apate heshima.

Ata huko vyuoni wachagga wengi wanasemaga wametoka Arusha, kuna wengine hata Arusha hawajawahi kanyaga,walitokea dar na moshi ila utasikia nimetoka Arusha.
Arusha ya wameru na masai. Ila usemacho kweli. Kuna mwamba kwao Moshi ila hataki kabisa kufungamana napo hujinasibu Arusha. Wakati hapajui kabisa. Alitoka Moshi to Dar. Ila kuna mangi fulani husema wameru maboya na ni wao wachaga ndiyo wameifanya Arusha kuwa vile ilivyo.
 
Arusha ya wameru na masai. Ila usemacho kweli. Kuna mwamba kwao Moshi ila hataki kabisa kufungamana napo hujinasibu Arusha. Wakati hapajui kabisa. Alitoka Moshi to Dar. Ila kuna mangi fulani husema wameru maboya na ni wao wachaga ndiyo wameifanya Arusha kuwa vile ilivyo.
Ni ukweli ulio mchungu, Arusha inajengwa na wachaga, wajanja wengi ni wachaga. Waarusha ni wavivu, wa meru ni washamba, wamasai wapo busy kudumisha mila zao
 
Hata mimi hili huwa nalikubali. Ila wakikusikia wameru wanakua wakali kama mbogo hahahaha
😀😀 Kiukweli siwafahamu sana wameru ila waarusha wanawadharau sana wameru nimesikia kutoka kwao wakiwaponda.
 
Nikki na Mpenzi wake wote ni Vilaza.......siku nilijua Nikki ni kilaza ni siku niliposikia kwa mtu wake wa karibu kuwa anasoma ili ashindane na MwanaFA kuwa mwanamziki aliyesoma kuliko wote, na siku nilijua mpenzi wake ni kilaza ni siku anahojiwa ilikuwa je wakakutana akatoa comment kwa yeye she is in to "smart guys" hajui kuwa smart ni subjective inategemea na nani na nin anaongelea, anaweza kuwa smart kwake kwa vile yeye hajui vitu na stupid kwetu......Stupid love birds
 
wafia dini mnashida sana mkiambiwa ukweli mnaanza kupanick
 
In the country of the blind one eyed man is a king
Wapi bwanaa mbona kina Fa kitambo tu wakula kitabu na hawakihusishi na muziki wao...Afu unavyojinad msomi afu una tungo za kitoto nashindwa kuelewa unaunad vp usomi wako kwwnye muziki wako for sure nikki yule wa UJAMAA na MBONA HAURUDI siyo huyu wa KIBURI FLOW nadhani NIKKI angebaki MBISHI tu huyu atafute jina lingine.
 
inabidi kijana akutanishwe na professor kabudi apate experience....aambiwe huu si mda wa kubagaza vijana wenzio!
 
Anaefanya hatangaz, wewe debe tupu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .

Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .

Huko mbele atakuja simulia tu
 
Mkuu Hayo ni maoni yake na yanapaswa kuheshimiwa ,wapo pia wanaoamini mungu ni mwanamke ,Niki bila shaka ni msomi na wewe si mtu mbaya umekosa mafunzo ya kimsingi tu ya namba ya kufikiri bila mipaka
 
Hata mimi simkubali, namkubali mama zuri na anavyomuanika kwenye mitandao iko nitammumunya.
 
Back
Top Bottom