Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

wananchi nao wanajuwa wanambunge,
 
Huyu mbunge hajui Kiswahili tayari ni lugha ya taifa?
 
Kuna watu wakiongea vitu, wewe msikilizaji ndio unaona aibu
 
Wabunge wa CCM hao.... kazi ipo
 
Wacha Weeee !!
 
Huyu mbunge ni kati ya wapumbavu walioteuliwa kipindi cha mwendazake.
Mpumbavu ni mtu hata akiambiwa masuala ya umoja wa kitaifa haelewi kitu.
Mwacheni alalie ngozi.
 
Duuuuuuh Kama hawa ndio wasomi wetu Basi tume kwama pakubwa Kama taifa, maskini nchi yangu Tanzania [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Lisomi gani hilo na wewe !!! Pimbi tu fulani hivi linatupiga hela kwa mohoja ya hovyo kabisa [emoji35]
 
Ila si tuna Kiswahili tayari, kwa nini tukiache?
Hii haina maana ya kwamba tunakipa kisogo kiswahili bali tunatanua wigo wa njia (media) za mawasiliano kwa watu wengi zaidi ikizingatiwa kuwa pamoja na kwamba kiswahili ndio lugha yetu kuu ya mawasiliano lakini kuna kundi kubwa la watu wasiojua kiswahili fasaha ama katika maeneo fulani wanatumia lugha zao za asili kama lugha kuu ya mawasiliano. Aidha watu hawa ndio wasambazaji au walaji wakubwa wa bidhaa mbalimbali, pia ndio watoa huduma wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…