Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndo matokeo ya kuwa na ma-muth@f**k*rs kwenye bunge
huyu si ndo yule aliyedai mshahara wa wabunge hautoshi?sasa mnategemea achangie nn?wananchi tuwe makini kuchagua wabunge wetu.Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Ila amechelewa, hilo wazo angelitoa kabla yule aliyekuwa akihutubia kwenye Tv kwa kisukuma hajafa, lingepita kwa kishindo...!😂😂Siyo ukabila anapendekeza kuwa na lugha mpya ya Taifa ya kibiashara
Nyerere aliona mbali sana!! Hili kabila ni Mzigo WA Misumari, hadi Wawakilishi wao Hawana akili za kutambua jitihada za baba WA Taifa, hadi ukabila umepotea Tanzania wao wanaufufua!!!Hawa wasukuma hawa...ukiwapa madaraka kidogo mtihani
Wakwere hawawezi kuwa wapuusiAngesema tutumie lugha ya kikwere ili iwe lugha ya Taifa, ingekuwa sawa.?
Tumejifunza kutokana na makosa. Mwendazake alikuwa anaongea kisukuma kwenye mikutano ya hadharaHawa wasukuma hawa...ukiwapa madaraka kidogo mtihani
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Watu kama Hawa mama awafute kugombea msimu ujao..
Wamekunywa sumu ya ukabila
Huyu nae wananchi wanategemea atafanya wonders? Nafikir wananchi wameshajua wanafeli wapiMbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.
![]()
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Watu wengi wa wapi ?Jambo la busara sana hilo
Tena kisukuma kinazungumzwa na watu wengi